Mpaka naamua hivi,ushahidi ninao, pa kuriport ndo sijapa,kama unafaham contacts zao naomba share na mimi. Na si kwamba lengo langu ni kumuanika,bali ni kupata mawasiliano na wakubwa zakeKumpost hapa mkuu bado hakusolve lofoten.Kama una ushahidi mkuu kamreport ili achukuliwe hatua za kinidhamu na wakubwa zake huko.