Dunia nzima itajua kwamba CCP kuna makamanda yanapiga kozikichaka miba & Ccp zamu yetu hii. ujio wetu utakua ni tishio ya dunia zaidi mafua yandege .hatujaumbiwa kukaa benchi kitaa coz aliye juu ni mwema kwa kila mmoja
Matumizi ya simu, kukwepa vipindi, wizi mapenzi vinarudisha sana watuUkienda CCP hadi ukamaliza kozi salama unatakiwa umshukuru Mungu Sana kuna watu wengine hawamalizi wanarudishwa home,kule Nidhamu ya hali ya juu inahitajika
Vyovyote sawa, kwa sababu hata mimi nimeunganisha lkn sijatafutwa kama kuna ambacho sijatuma muhimu ni kutuma Zaid ya mara 2 ili kuhakikisha ombi linafikaNahis njia nzuri ni kuweka Kila kimoja kivyake View attachment 2455686
bdo mwenyewe sijatafutwa nili merge documents zote ikawa pdf moja, ile kiambatanisho B nilijaza then nikatuma pekee. so nilituma documents mbili pekee. ngoja tuone mbeleni kama watajibu kama pana pa kurekebisha mahaliVyovyote sawa, kwa sababu hata mimi nimeunganisha lkn sijatafutwa kama kuna ambacho sijatuma muhimu ni kutuma Zaid ya mara 2 ili kuhakikisha ombi linafika
mkuu una connection nzito nn ?Uhamiaji mpk sasa zimebaki nafasi 499
Moja iliyochukuliwa labda ni yeye kapewa hahahmkuu una connection nzito nn ?
Moja iliyochukuliwa labda ni yeye kapewa hahah
Ningekuwa na uhakika huo usingeniona jukwaa hili..............moja ushaichukua[emoji1]
Binafsi sijajisumbua hata kutuma uhamiaji nafsi chache masharti kibao mara Muhuli wa wakili kutuma kwa EMS kwa kifupi umetumia pesa ndogo 30k hafu uwezekano wa kupata ni mdogo sana.mkuu una connection nzito nn ?
Hata mimi sijajisumbuaBinafsi sijajisumbua hata kutuma uhamiaji nafsi chache masharti kibao mara Muhuli wa wakili kutuma kwa EMS kwa kifupi umetumia pesa ndogo 30k hafu uwezekano wa kupata ni mdogo sana.
inahusiana vp na nafasi 499 ulizosema zimebaki mkuu?Binafsi sijajisumbua hata kutuma uhamiaji nafsi chache masharti kibao mara Muhuli wa wakili kutuma kwa EMS kwa kifupi umetumia pesa ndogo 30k hafu uwezekano wa kupata ni mdogo sana.
kuwa na ndugu mbunge sio kupata mkuuNingekuwa na uhakika huo usingeniona jukwaa hili..............
Kuna dogo ana ndugu yake mbunge.
Wengi sana, nashangaa mtu hajapita Jkt eti anajaribu bahati me nisingethubutu[emoji23][emoji23]Nowdays JKT wapo kibao mitaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Op mama Samia!![emoji23][emoji23]:basi ni muda mrefu sahv bravo coy ni wachumba [emoji23][emoji23]eagle na danger OP mama samia
namimi imenifurahishaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Op mama Samia!![emoji23][emoji23]:
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Op mama Samia!![emoji23][emoji23]:
Sent using Jamii Forums mobile app
au sitakiw kwenye huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Op mama Samia!![emoji23][emoji23]:
Sent using Jamii Forums mobile app