Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Vyovyote sawa, kwa sababu hata mimi nimeunganisha lkn sijatafutwa kama kuna ambacho sijatuma muhimu ni kutuma Zaid ya mara 2 ili kuhakikisha ombi linafika
bdo mwenyewe sijatafutwa nili merge documents zote ikawa pdf moja, ile kiambatanisho B nilijaza then nikatuma pekee. so nilituma documents mbili pekee. ngoja tuone mbeleni kama watajibu kama pana pa kurekebisha mahali
 
Binafsi sijajisumbua hata kutuma uhamiaji nafsi chache masharti kibao mara Muhuli wa wakili kutuma kwa EMS kwa kifupi umetumia pesa ndogo 30k hafu uwezekano wa kupata ni mdogo sana.
inahusiana vp na nafasi 499 ulizosema zimebaki mkuu?
 
kwa wale walio aplai kwenye steshinari ama kwa simu ya rafiki ako mjitahidi kujiridhisha kama kutakua na makosa fulani incase polisi wame kucheck kurekebisha taarifa zako, otherwise unaweza jikuta ukosalama kumbe umepotea
 
Back
Top Bottom