Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mwaka gani mkuu??

Makuyuni kuna koplo mmoja anaroho kama shetani, anitwa Sese,

Kuna mpenda sifa anaitwa Aloyce(private)

Nilikuwa hanga la mabati pale afande anawaamsha kwa kuburuza mfuniko wa ndoo kwenye mabati.
Sese nmemkuta anaroho ngumu sijaona alikuwa A coy Lakin anaweza kutoa doso ata kwa coy nyingine ni msabato ikifika ijumaa saa12 hamgusi mtu na mpaka sabato inaisha jmos saa12. Kuna kuruti wa Mungu muda tunaenda kisimani kuchota maji Sasa lile vumbi akamfata Sese eti afande me nina pumu siwezi ruka kichura Sese akamwambia kama unapumu njoo ukae mbele kabisa nataka nikuone ukifa na hyo pumu yako[emoji16]

Aloyce mshenzi tulikuwa nae D coy alitutesa sana kuna aliwahi hadi zidisha scale la tifu ikabidi maafsa wamuite kwenye baraza wampe somo la scale yetu ya kozi tulipata nafuu alifiwa na mama yake(pole kwake) alienda Musoma ndo kidogo tukapumua.

Me nilikuwa anga la vioo chini kabisa ukitoka anga la mabati.
 
Nishawaambia humu wawe makini Sana wenye utimamu washajielewa,jana alinichekesha eti anadai kapoteza simu yule aliyemtumia docs zake amtumie tena inbox hivi ukipoteza simu hata jf nayo inaondoka?
Mtu huna kazi lakini mtubanakufata inbox anataka pesa ndefu sijui unaitoa wap asee haya maisha daaa tuwe makini sana connection ni Mungu pekee
 
Mtu huna kazi lakini mtubanakufata inbox anataka pesa ndefu sijui unaitoa wap asee haya maisha daaa tuwe makini sana connection ni Mungu pekee
Wewe unataka kazi ili upate pesa kwa sababu huna pesa na yeye naye anataka pesa.

Kwanini usimpe pesa baada ya kukupatia kazi,[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Op gani mkuu??


Nimeshawahi katwa kibangala nikaingia kwenye 18 za Sese, kuruta tulifarakana hatari.
 
825kj OP Magufuli... Nilidoji intro , Passing Square na Siku ya kuapa...Nilikimbia Guard no.1 siku ya kwanza tu kabla hawajanikariri...safari ilikua ngumu lakini nilitoboa

Sifa ukiwa doja usiwe na tamaa ya msosi.
Hahahahahaaa watakudaka tu
 
Me nliwah kudoji mabio, nikavizia hangan nichukue ndoo nikachote maji,ile naingia tu nikamkuta afande ametulia kw bed anavuta bangi,hlf afande wa maovyoovyo kombania mzima tunamhara.nilianz kutetema tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].akanambia umedoji eeh sas subr huku ananifuata kunifikia tu mbata ya maana akanambia kaa uvunguni mwa kitanda cha juu,sas vitanda ni dabodeka vile nikae uvungun mw kitanda cha juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .kuruti wa a Mungu nikaanza kupanda nijishikie uvunguni [emoji23][emoji23],nilipata tabu sn,kunywa viroba vya kutosha,beba dunia mpk washikaj wanarud mabio bdo jamaa kakomaa na mim.[emoji23]
 
Vipi nyumba za mabati za ma afande wenu ziliboreshwa ?


B coy sio ya yule mpemba alikuwa akiisimamia

Mabula na shimika bado wapo ?
Sura ya YESU matendo ya shetani, akina Mbaji, soud, Yassin, Nshimba, Caessar halafu kuna yule afande KATUNZI alikua na matusi kichizi yaani domo lake halijawahi vaa chupi[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…