Me nliwah kudoji mabio, nikavizia hangan nichukue ndoo nikachote maji,ile naingia tu nikamkuta afande ametulia kw bed anavuta bangi,hlf afande wa maovyoovyo kombania mzima tunamhara.nilianz kutetema tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].akanambia umedoji eeh sas subr huku ananifuata kunifikia tu mbata ya maana akanambia kaa uvunguni mwa kitanda cha juu,sas vitanda ni dabodeka vile nikae uvungun mw kitanda cha juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .kuruti wa a Mungu nikaanza kupanda nijishikie uvunguni [emoji23][emoji23],nilipata tabu sn,kunywa viroba vya kutosha,beba dunia mpk washikaj wanarud mabio bdo jamaa kakomaa na mim.[emoji23]