MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Soud nilikuwa namchukia kwenye mabio zamu yake lazima mkimbie kufata chakula mnapanda mlima kazaula ..mnatokea kule kwenye manguruwe mpka jikoni paleAfande Soud anapiga kwata dunia nzima hamna anaemfikia ...kwata makini sana kuna siku nilidoji angani bahati nzuri kwangu alinifuma huku nafanya mazoez ya kwata angani ..kesho yake parade akaniita akanipa uongozi wa kuongoza guard number 3 ..
Mazee sijisifii ila mm nikipiga kwata hadi utatamani ..
Siku ya kuapa niliumwa sana tumbo kwahyo nafas yangu akapewa service man wa kujitolea operesheni kikwete
Soud nilikuwa namchukia kwenye mabio zamu yake lazima mkimbie kufata chakula mnapanda mlima kazaula ..mnatokea kule kwenye manguruwe mpka jikoni pale
Yah mbna kama ww ni op magufuliTozi anamatusi sana na ile sauti yake sasa utacheka vile akitukana utatamani mda wote awapigishe story [emoji3]
Eti msiende porini wenyewe wale warundi bado wana hasira wataf* ra
Kipindi hicho warundi wamefukuzwa kwenye kambi ikawa ya jeshi kwahyo mipapai , mitunda ya kila aina ipo huko porini ukienda inakutana na vijumba yamebaki magome vimebomoka
Nasikia kulikuwa na mtifuano sana kuwaondoa
"Kwanini usimpe pesa baada ya kukupatia kazi,[emoji28]"Naaminije kama ni yeye yupo jikoni kwenye majeshi hela unatoa kwenye connection ya uhakika sio kufatana inbox za humu hukunielewa nilichimaanisha
Na hyo ndio huwa njia nzuri kama mnaaminia kwann msipeane hela baada ya jamaa kupata kazi na kutulia kabisa"Kwanini usimpe pesa baada ya kukupatia kazi,[emoji28]"
Mkuu zingatia hiyo quote juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Kwanini usimpe pesa baada ya kukupatia kazi,[emoji28]"
Mkuu zingatia hiyo quote juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mbannga ?Jina langu likiitwa tu usaili basi uhamiaji natoboa
Ahaaaa!! Hapo nimekupata baba.kwhyo TPDF inapigwa hapo tu ? Na km ipo kambi nyngne nako wanakuita RTS hvohvo mfano RTS ORJOLORecruit training school hiyo mzee baba msata pwani hiyo
Kwan commando koz ni ngumu sana eeh! Maan huyu askari wa pili kuskia anarudi,mmoja aliwepo mgambo afande msaizage aliend komando akarudi fastaWote hao nawakumbuka ..kuna mwamba anaitwa afande tozi anatukana vibaya mno
Yule afande mwingine Sura ya yesu matendo ya shetan sura nzuri ila roho yake sijawah iona ngumu mno,aliendaga kozi ya ukomandoo akaumwa akarud kambini
Daah!! Inauma sn,ilibid uwepo Frontline baba mwendo wa kuvunja bega tuAfande Soud anapiga kwata dunia nzima hamna anaemfikia ...kwata makini sana kuna siku nilidoji angani bahati nzuri kwangu alinifuma huku nafanya mazoez ya kwata angani ..kesho yake parade akaniita akanipa uongozi wa kuongoza guard number 3 ..
Mazee sijisifii ila mm nikipiga kwata hadi utatamani ..
Siku ya kuapa niliumwa sana tumbo kwahyo nafas yangu akapewa service man wa kujitolea operesheni kikwete
Kwan commando koz ni ngumu sana eeh! Maan huyu askari wa pili kuskia anarudi,mmoja aliwepo mgambo afande msaizage aliend komando akarudi fasta
Kwani majina ya watu walioitwa interview magereza na uhamiaji si yaliyotoka nyakati tofauti mzeeJamaa yangu alipiga interview uhamiaji na magereza, mkeka umetoka jina lake lipo kotekote yan uhamiaji na magereza.... Jamaa akachagua magereza dah[emoji23]
Nilikua mnaaaa sana kwenye kata....pale kwenye kutoa salamu kwa mgeni rasmi...mwendo wa haraka guz machi nikifika pale kwenye heshimaaa kuliaaa....Daah!! Inauma sn,ilibid uwepo Frontline baba mwendo wa kuvunja bega tu
mkuu humu wapiga kamba ni wengi balaaKwani majina ya watu walioitwa interview magereza na uhamiaji si yaliyotoka nyakati tofauti mzee
mkuu humu wapiga kamba ni wengi balaa
Hahahaha alaf chief anakwambia jamaa ake alipata sehem mbili sio poaKamba zinapigwaaa mnoooo chief....nakumbuka walianza tanpol na fire then baadae ndio ikaja magereza....mwsho uhamiaji tena ilikua january