[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikua mnaaaa sana kwenye kata....pale kwenye kutoa salamu kwa mgeni rasmi...mwendo wa haraka guz machi nikifika pale kwenye heshimaaa kuliaaa....
Serengeti zote zilikua zinanipigia kelelee ili nifanye unaaaa
Ni mwenyewe nimeshangaamkuu humu wapiga kamba ni wengi balaa
sio poa mkuu mi nawazoom tuKamba zinapigwaaa mnoooo chief....nakumbuka walianza tanpol na fire then baadae ndio ikaja magereza....mwsho uhamiaji tena ilikua january
Asante sana kwa elimuMkuu ni school sio soldier hiyo ni shule ya kijeshi msata pwani
We Lini ulisikia tpdf kuna mkeka?TPDF nao wangefanya mafekeche wakaachia mkeka wa maombi huu mwaka , tukakamilisha maombi then mwakani inabaki kusikiliza palipo tick
kuna volunteer lance coplo bora ukitane na bakaka ila sio hao lance coplo wa jkt835 aliwepo mmoja service man mwny v moj,( koplo usu) Alikuw na shida sn yule jmaa
Hahahaha alaf chief anakwambia jamaa ake alipata sehem mbili sioKamba zinapigwaaa mnoooo chief....nakumbuka walianza tanpol na fire then baadae ndio ikaja magereza....mwsho uhamiaji tena ilikua january
Tuko pamoja mkuu
Nawasikia kipindi cha kozi wakipita mitaa ya Moshi mjini usiku mnene wakiimba chenja dah utawaonea huruma,sijui kama wanalala kweli karibu mwaka mzima wa kozi yao.Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.
Huko Uhamiaji sijajua kama nao ni kuamka saa 6 usiku na kuanza mabio
Hebu fikiria kozi yao ni kama mwaka mzima,porini wanakaa miezi isiyopungua miwili,kila siku kasoro jmosi kuamkia jpili ni mchakamchaka wanaamshwa saa sita kasoro usiku,scale ngumu hiyo sana.Hpn lkn kaka kwa mzigo nliokapigishw nahis huko kutakuwa na ahueni yake,Amin hili
Mwanzoni mtazunguka tu maeneo ya chuo alafu baadae kidogo nawaona wakianza kwenda mbali zaidi huko KCMC na mitaa mingine ya mbali zaidi.Mbio ni itakuwa maisha yako yote utapokuwa shuleni pale.Mabio km ya kilomita ngapi kaka? Maan kitaa jion napiga km 4 km kwenda na kurudi,sku nyngn 3,nyngn 2 ndio hvo yan
Kiufupi jamaa ni wajanja sana mnakesha wenyewe bila kujijua.Nasikia kufoleni saa6 usiku,Mara kuhesabiwa sijui nakufanyaje saa 8 hii hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fikiria kozi yao ni kama mwaka mzima,porini wanakaa miezi isiyopungua miwili,kila siku kasoro jmosi kuamkia jpili ni mchakamchaka wanaamshwa saa sita kasoro usiku,scale ngumu hiyo sana
Wapo.Kuna mtu nchi hii anacheti cha horse [emoji237] Rider [emoji23][emoji23]
Mkeka wao wanasema ni februari mwakani ndio unatoka ,ndio maana ni nikasema bora wangeutoa mapema mwaka huu kama majeshi mengine yalivyofanya ili mwakani wapambanaji wabaki kusikiliza sahili tuWe Lini ulisikia tpdf kuna mkeka?
Au Farm,Ushonaji na Band.Watu kumbe ndipo wanapokula utawala
Na ajira portal msiache kulengesha mitego wapambanajijanuary mapema, mikeka itaanza kutema jah bless 2023 uwe mwisho wa msoto kwa cc watafutaji