Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nilikua mnaaaa sana kwenye kata....pale kwenye kutoa salamu kwa mgeni rasmi...mwendo wa haraka guz machi nikifika pale kwenye heshimaaa kuliaaa....
Serengeti zote zilikua zinanipigia kelelee ili nifanye unaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sema sio mbaya kamba zinafanya uzi unakua hot . but ni vizuri tukapeana lonja za kweli coz zinajenga
 
TPDF nao wangefanya mafekeche wakaachia mkeka wa maombi huu mwaka , tukakamilisha maombi then mwakani inabaki kusikiliza palipo tick
 
Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.
Huko Uhamiaji sijajua kama nao ni kuamka saa 6 usiku na kuanza mabio
Nawasikia kipindi cha kozi wakipita mitaa ya Moshi mjini usiku mnene wakiimba chenja dah utawaonea huruma,sijui kama wanalala kweli karibu mwaka mzima wa kozi yao.
 
Hpn lkn kaka kwa mzigo nliokapigishw nahis huko kutakuwa na ahueni yake,Amin hili
Hebu fikiria kozi yao ni kama mwaka mzima,porini wanakaa miezi isiyopungua miwili,kila siku kasoro jmosi kuamkia jpili ni mchakamchaka wanaamshwa saa sita kasoro usiku,scale ngumu hiyo sana.
 
Mabio km ya kilomita ngapi kaka? Maan kitaa jion napiga km 4 km kwenda na kurudi,sku nyngn 3,nyngn 2 ndio hvo yan
Mwanzoni mtazunguka tu maeneo ya chuo alafu baadae kidogo nawaona wakianza kwenda mbali zaidi huko KCMC na mitaa mingine ya mbali zaidi.Mbio ni itakuwa maisha yako yote utapokuwa shuleni pale.
 
Halafu wanakwambia Polisi ni raia mkakamavu ,ndio maana huwa wanakuwa wakuda kitaa hawa Polisi ,wakikumbuka msoto wa mwaka mzima mpaka kumalizia mafunzo , ni mtiti
Hebu fikiria kozi yao ni kama mwaka mzima,porini wanakaa miezi isiyopungua miwili,kila siku kasoro jmosi kuamkia jpili ni mchakamchaka wanaamshwa saa sita kasoro usiku,scale ngumu hiyo sana
 
We Lini ulisikia tpdf kuna mkeka?
Mkeka wao wanasema ni februari mwakani ndio unatoka ,ndio maana ni nikasema bora wangeutoa mapema mwaka huu kama majeshi mengine yalivyofanya ili mwakani wapambanaji wabaki kusikiliza sahili tu
 
Back
Top Bottom