Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Sipo kwenye kazi yoyote ile ya Majeshi hayo Mkuu,naongea kwa uelewa wangu na kupitia kwa wadau walioko huko.mkuu pt ufananishe na migration kweli ?? au sababu upo chomboni uhalisia immigration ni maji marefu hamuingii kuanzia fursa na mipigo. uhamiaji anapiga anapiga karibia kote work permits, viwanja vyandege,bandarini,usafiri wote wa ardhini kufanya inspection,magodown, ubalozini , IOM Agency plus entry and exit points zote za nchi mkuu. kingine tusibishane ebu fananisha maisha ya afsa polisi na afsa uhamiaji interm of income,expenditure and lifestyle.
UT ni Jeshi lile, ipo hiyo lazima.Hivi na idarani wana weapon training??[emoji848][emoji848][emoji848]
mm sitaki tubishane pasipo evidence mkuu. nimetoa fact then nika hitimisha jaribu kufananisha maisha ,income,expenditure na lifestyle kati ya polisi na afsa uhamiaji?Usipende kuongea vitu usivyo vijua mkuu mnapenda sana hadithi za kuadithiwa nakuombea upate uingie mzigoni mkuu
mambo yepi uhamiaji wanafanya online na hayana mianya ya upigaji ?ripoti ya CAG Kichele mwaka huu imeibua upotevu wa mabilions ya shilling kwemye ishu za passport na maafisa uhamiaji . mkuu immigration ni maji marefu sana huwez fananisha na pongoDah pole sana mkuu kwa kupotosha nazani haupo idarani siku zote ukiwa nje ya mfumo unaona walio ndani wanafaidi ingia ndani sasa
Uhamiaji wanaopata fursa zisizo rasmi n wale waliopangiwa mikoa ya mipakani angalau utakuta wanakula na watendaji wa kata ambushi ya kukamata wahamiaji haramu tofauti na hapo aisee hzo fursa ulizotaja sahv n ngumu muno mambo mengi yanafanywa online tena chap
Polisi kwenye fursa zisizo rasmi wako mbele ata apangiwe wapi, hakosi pesa ya mboga
yaah jaribu kuipitia immigration ActHivi na idarani wana weapon training??🤔🤔🤔
Kaka nakuombea upate tu huku. Moyo wako upo huku asee.Nitaicheki hii Act.yaah jaribu kuipitia immigration Act
shukrani afsa tuombeane ,tusiache mtu kitaa safari hiiKaka nakuombea upate tu huku. Moyo wako upo huku asee.Nitaicheki hii Act.
Dah we jamaa bhn naongea from experience mkuu hatupo kubishana life style n mpangilio wa mtu but UT mambo yalikuwa hoi atleast wanavyo pigania kulifanya kuwa jeshi now ata angalau watu wataanza kwenda Lindo wakiwa na silaha, hadi kufikia mwaka huu watu wanaenda Lindo bila ata silahamm sitaki tubishane pasipo evidence mkuu. nimetoa fact then nika hitimisha jaribu kufananisha maisha ,income,expenditure na lifestyle kati ya polisi na afsa uhamiaji?
Kumbe wanatoa notification mbna mi kimya kwangu na kesho ndo mwishoHv tusiopokea notification kwamba email zetu zimepokelewa ina mana ndo tushapigwa chini au hii ikoje wataalam
mi nikajua wana notify wale tu,waliokosea ama kuto ambatanisha cheti chochote husika,till now sijapokea email notification yoyote ya polisiHv tusiopokea notification kwamba email zetu zimepokelewa ina mana ndo tushapigwa chini au hii ikoje wataalam
Mimi mwenyewe bado sijapata.mi nikajua wana notify wale tu,waliokosea ama kuto ambatanisha cheti chochote husika,till now sijapokea email notification yoyote ya polisi
[emoji3]
pamoja mkuu wanguWakuu tuendelee kushusha lonja.
Mkuu mfwende na Dystonia7 endeleeni kushusha vitu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji angu ni UT, Dada angu ni UT hili bogi la juzi tu kapangiwa huko Masasi kiufupi hakuna kitu!!!mm sitaki tubishane pasipo evidence mkuu. nimetoa fact then nika hitimisha jaribu kufananisha maisha ,income,expenditure na lifestyle kati ya polisi na afsa uhamiaji?
Kiuhalisia PT ina vitengo Vingi na fursa nyingi. Polisi ni kama yupo kila sehemuDah we jamaa bhn naongea from experience mkuu hatupo kubishana life style n mpangilio wa mtu but UT mambo yalikuwa hoi atleast wanavyo pigania kulifanya kuwa jeshi now ata angalau watu wataanza kwenda Lindo wakiwa na silaha, hadi kufikia mwaka huu watu wanaenda Lindo bila ata silaha
Narudia PT Kuna maisha kuliko UT naongea from experience kabisa
Kuhusu pesa kupotea n wachache sana UT maafisa wanaopiga pesa kuliko PT, Afisa wa UT mwenye Nyota anazidiwa ata na traffic ambae hana cheo kwa kuingiza pesa zisizo halali
NB: Naongea kwa experience ya mtu mwenye nyota tatu kabisa wa UT ambae anakaimishwa hadi kituo, jeshi ambalo sjui chochote n JWTZ but haya UT, ZT, PT, MT hawa nmekulia hizi familia na ndugu na marafiki wako huko so naelewa kidogo mambo yalivyo
Na hawa ni proffesionals?Shemeji angu ni UT, Dada angu ni UT hili bogi la juzi tu kapangiwa huko Masasi kiufupi hakuna kitu!!!