Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

mkuu pt ufananishe na migration kweli ?? au sababu upo chomboni uhalisia immigration ni maji marefu hamuingii kuanzia fursa na mipigo. uhamiaji anapiga anapiga karibia kote work permits, viwanja vyandege,bandarini,usafiri wote wa ardhini kufanya inspection,magodown, ubalozini , IOM Agency plus entry and exit points zote za nchi mkuu. kingine tusibishane ebu fananisha maisha ya afsa polisi na afsa uhamiaji interm of income,expenditure and lifestyle.
Sipo kwenye kazi yoyote ile ya Majeshi hayo Mkuu,naongea kwa uelewa wangu na kupitia kwa wadau walioko huko.
PT kuna hela kuzidi UT.
 
Dah pole sana mkuu kwa kupotosha nazani haupo idarani siku zote ukiwa nje ya mfumo unaona walio ndani wanafaidi ingia ndani sasa

Uhamiaji wanaopata fursa zisizo rasmi n wale waliopangiwa mikoa ya mipakani angalau utakuta wanakula na watendaji wa kata ambushi ya kukamata wahamiaji haramu tofauti na hapo aisee hzo fursa ulizotaja sahv n ngumu muno mambo mengi yanafanywa online tena chap

Polisi kwenye fursa zisizo rasmi wako mbele ata apangiwe wapi, hakosi pesa ya mboga
mambo yepi uhamiaji wanafanya online na hayana mianya ya upigaji ?ripoti ya CAG Kichele mwaka huu imeibua upotevu wa mabilions ya shilling kwemye ishu za passport na maafisa uhamiaji . mkuu immigration ni maji marefu sana huwez fananisha na pongo
 
mm sitaki tubishane pasipo evidence mkuu. nimetoa fact then nika hitimisha jaribu kufananisha maisha ,income,expenditure na lifestyle kati ya polisi na afsa uhamiaji?
Dah we jamaa bhn naongea from experience mkuu hatupo kubishana life style n mpangilio wa mtu but UT mambo yalikuwa hoi atleast wanavyo pigania kulifanya kuwa jeshi now ata angalau watu wataanza kwenda Lindo wakiwa na silaha, hadi kufikia mwaka huu watu wanaenda Lindo bila ata silaha

Narudia PT Kuna maisha kuliko UT naongea from experience kabisa

Kuhusu pesa kupotea n wachache sana UT maafisa wanaopiga pesa kuliko PT, Afisa wa UT mwenye Nyota anazidiwa ata na traffic ambae hana cheo kwa kuingiza pesa zisizo halali

NB: Naongea kwa experience ya mtu mwenye nyota tatu kabisa wa UT ambae anakaimishwa hadi kituo, jeshi ambalo sjui chochote n JWTZ but haya UT, ZT, PT, MT hawa nmekulia hizi familia na ndugu na marafiki wako huko so naelewa kidogo mambo yalivyo
 
Kiuhalisia PT ina vitengo Vingi na fursa nyingi. Polisi ni kama yupo kila sehemu
 
Back
Top Bottom