southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
hahahaa kijana bado una story za zaman za uhamiaji kupiga hela,me sisemi kitu ila inabidi uingie ndo utaona hizo fursa na mpunga kama upo kwelimm sitaki tubishane pasipo evidence mkuu. nimetoa fact then nika hitimisha jaribu kufananisha maisha ,income,expenditure na lifestyle kati ya polisi na afsa uhamiaji?
weka fact mkuu. mm huwa natembea na validations not assumptionhahahaa kijana bado una story za zaman za uhamiaji kupiga hela,me sisemi kitu ila inabidi uingie ndo utaona hizo fursa na mpunga kama upo
mkuu CAG kichele kaibua madudu kibao ya mabilioni yaliyo takatishwa na maafisa uhamiaji kwenye issue za passport pekee vp mapongo umewasikia wapi kama sio kulilia ongezeko la mshahara .unajua napenda fact so ukibisha weka fact tusongehahahaa kijana bado una story za zaman za uhamiaji kupiga hela,me sisemi kitu ila inabidi uingie ndo utaona hizo fursa na mpunga kama upo kwel
Nasikia Matraffic wanacheza mchezo(upatu) wa 200k per day.Tukiachana na Story za mitaani vijiweni huko kwa Wizara ya Mambo ya ndani PT ndio Top huko hakujali uko tengo lipi au una cheo kipi
Kunakofuata huko kunategemea na niliyotaja huko juu
Kikubwa mshahara upo basi popote kambi!!!
Hahahahah iyo chenja ya CCP tu mkuu
Kwahiyo Mkuu unapambana uingie UT ukawe muhujumu uchumi?kuna hii
Mkuu kwahyo ukipata CCP huendi?ya mwisho hii. then sina hoja tena zaidi ya maombi tu nizame mzigoni nikafanye kazi nayo ikubali. wanangu wa ccp dua tu nawaombea
Ukiingia vyomboni na mawazo haya utatemeshwa mwenge mapema sana.ya mwisho hii. then sina hoja tena zaidi ya maombi tu nizame mzigoni nikafanye kazi nayo ikubali. wanangu wa ccp dua tu nawaombea
naenda afsa wangu kitaa cha moto.ila dream yangu iko uhamiaji ni decent and dream job kwangu itanipa fursa nyingi ikiwemo kukua kielimu zaidi na exposure coz vikao vya nchi za nje nikugusa tu hasa wnao dili na national and transnational organized crimes investigation
yaah mkuuTuombeaneni kwanza tupate hizo ajira masuala ya maslahi baadae,
Kumbe unasikia?
Nini mkuuwazee wa ccp pgo hii hapa
police general ordersNini mkuu
Mhhhh Nani kajibiwa mbna hili jipya me nilivyojua wananotify wale ambao kuna something hakipo sawa kama ni cheti,nakala au kiambatanishoHv tusiopokea notification kwamba email zetu zimepokelewa ina mana ndo tushapigwa chini au hii ikoje wataalam
Nimekupata mkuupolice general orders
usije ulizwa kirefu na duties za Acp,dci,igp ukabaki unaduwaa mkuu wangu