Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

mm sitaki tubishane pasipo evidence mkuu. nimetoa fact then nika hitimisha jaribu kufananisha maisha ,income,expenditure na lifestyle kati ya polisi na afsa uhamiaji?
hahahaa kijana bado una story za zaman za uhamiaji kupiga hela,me sisemi kitu ila inabidi uingie ndo utaona hizo fursa na mpunga kama upo kweli
 
Tukiachana na Story za mitaani vijiweni huko kwa Wizara ya Mambo ya ndani PT ndio Top huko hakujali uko tengo lipi au una cheo kipi

Kunakofuata huko kunategemea na niliyotaja huko juu

Kikubwa mshahara upo basi popote kambi!!!
 
hahahaa kijana bado una story za zaman za uhamiaji kupiga hela,me sisemi kitu ila inabidi uingie ndo utaona hizo fursa na mpunga kama upo kwel
mkuu CAG kichele kaibua madudu kibao ya mabilioni yaliyo takatishwa na maafisa uhamiaji kwenye issue za passport pekee vp mapongo umewasikia wapi kama sio kulilia ongezeko la mshahara .unajua napenda fact so ukibisha weka fact tusonge
 

Attachments

  • Screenshot_20221226-122939.png
    Screenshot_20221226-122939.png
    174 KB · Views: 16
ya mwisho hii. then sina hoja tena zaidi ya maombi tu nizame mzigoni nikafanye kazi nayo ikubali. wanangu wa ccp dua tu nawaombea
 

Attachments

  • Screenshot_20221226-124623.png
    Screenshot_20221226-124623.png
    93.2 KB · Views: 13
Hv tusiopokea notification kwamba email zetu zimepokelewa ina mana ndo tushapigwa chini au hii ikoje wataalam
Mhhhh Nani kajibiwa mbna hili jipya me nilivyojua wananotify wale ambao kuna something hakipo sawa kama ni cheti,nakala au kiambatanisho
 
Back
Top Bottom