Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wengii wanatumia huo mchongo Mimi Bro wangu yeye alimface mkuu wa Gereza akampanga jamaa akawekwa night tu akawa anakula kitabu SAUT Law 4yrs kipindi cha UE anaomba Ruhusa kabisa jamaa anampa two weeks hadi akagraduate kabla hata hajaenda Nyota wakawa wamembadilishia Salary!!
 
sasa mkuu apo uombe upangiwe town kwenye vyuo ukipangiwa porini si inakuwa kipengele
 
sidhan kama hii ni sahihi maana wapo wanaoingilia four then wanakuja kuonesha gamba la chuo wakiwa wamemaliza
Soma vzuri nilivyoandika, kumaliza mafunzo na kuonesha cheti chako cha chuo ni tofauti ma kutoa cheri chako muda ukiwa unaendelea na kazi. Yaani nilimaanisha umeajiriwa 2019 halafu cheti unawapelekea ulisoma 2020 na umemaliza 2023 na hapo haujapewa ruhusa.

Ila jaribu tu kila kitu kinawezekana.
 
TISS ni usalama wa taifa. Ni taasis inayojitegemea tofauti na polisi. Intelijensia ninayoiongelea hapa ni wapelelezi ndani ya jeshi ya polisi.
Kwahiyo hao INTELIJENSIA wanakuwa ndani ya PT kumbe,kitengo kizuri au hakuna ishu?
 
Hakuna shida mkuu. Unaweza ukasoma hata bila kuwa na ruhusa. Ila utajua mwenyewe utajipangaje na utawapangaje wakubwa zako. Unapoambiw uishi na wakubwa zako vizuri...uelewe kuwa kuna vitu kama hivyo. Ukiishi nao vizuri watakupa majukumu ambayo yatakupa muda wa kusoma pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…