mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
same To me mkuuJeshi jipya kupanda chap. Ila PT dadek utasubiri sana π. PT kwa upande wangu ni rahisi kuingia sina tabu nako huko. Issue ni UT hapa. Nikikosa UT nitajipeleka tu PT kama mishe za kitaa zitakuw hazijatiki.
Unauliza jibu kiongozi?PSU?
Oi nifanyie mpango tpa hata kubeba mizigo mssterMbinu za kimedani zipo nyingi saaana na zina ufanisi wa 100%
Tafuta mbanga mkubwa yoyote awe jeshini au mwanasiasa angalia anapofanyia ibada then wewe kaongee na wazee wa kanisa au msikiti wakuunganishe nae
Chunguza mbanga anapofanyia ibada then after ibada mtokee
Alafu kuna moja hii ni high technique method huwa naitumia mm na imenisaidia saa kuanzia form two mpaka diploma nikafaulu vizuri (hii sitoitaja coz bado naitumia kwa jamaa wangu wa ikulu)
Ufanisi wake
β’ilifanya nipate nida kwa masaa mawili tu
β’ilifanya nipate sehemu nzuri za kufanyia field
β’ilifanya nipate GPA 4.7
β’ilifanya nipate gape tpa
Basi wengine Ile nyeus hatujapewaπ€£Unauliza jibu kiongozi?
Psu ndio nini mkuuUnauliza jibu kiongozi?
Aaah mkuu upo tiss niniBasi wengine Ile nyeus hatujapewaπ€£
Presidential Security Unit.Psu ndio nini mkuu
Nimekuelewa mkuu bia ya baridiPresidential Security Unit.
Parade tamu sana mkipiga na bendi...π₯Polisi kwa kwata wako vizuri sana. Muda wako mwingi CCP utautumia huko.
Magereza wana mafunzo magumu kuliko hata hao JW kwenye ukakamavu..sema tu uraiani watu ambao hawajui wanaonaga JW ndio kila kitu na wana matizi magumuni kweli mkuu kwenye pared hao polis na jkt wapo vizuri na magereza wananyanyua miguu usawa wa kitovu ni hatari dadeq,JW ni watu wa mseleleko nimejifunza hicho kitu hawapendi kuteseka [emoji23] ndo mana wanapenda kusema sifa kitengo jeshini
Aaaaha hapo sawa ...watu wanadhanigi PT ni mserereko sana mafunzo yaoHicho kipindi mnahudhuria wote. Kipo kwenye ratiba. Judo Classes. Wachache tu ndio huwa wanachaguliwa kufanya maonesho mwishoni.
Jeshi jipya kupanda chap. Ila PT dadek utasubiri sana π. PT kwa upande wangu ni rahisi kuingia sina tabu nako huko. Issue ni UT hapa. Nikikosa UT nitajipeleka tu PT kama mishe za kitaa zitakuw hazijatiki.
Jeshi jipya kupanda chap. Ila PT dadek utasubiri sana π. PT kwa upande wangu ni rahisi kuingia sina tabu nako huko. Issue ni UT hapa. Nikikosa UT nitajipeleka tu PT kama mishe za kitaa zitakuw hazijatiki.
UT ukienda huko hutokuwa tofauti na raia;jamaa katika vituo vya wilayani daily wanavaa kiraia halafu wikend hawaendi kazini eti wanajiita jeshi.[emoji23]Jeshi jipya kupanda chap. Ila PT dadek utasubiri sana [emoji23]. PT kwa upande wangu ni rahisi kuingia sina tabu nako huko. Issue ni UT hapa. Nikikosa UT nitajipeleka tu PT kama mishe za kitaa zitakuw hazijatiki.
Nimemwambia jamaa aende PT atakuja kunishukuru 5 years to comeUT ukienda huko hutokuwa tofauti na raia;jamaa katika vituo vya wilayani daily wanavaa kiraia halafu wikend hawaendi kazini eti wanajiita jeshi.[emoji23]
Ukipata PT ujiko mzee mi ningekua huko ningependa wanipange kitengo cha V.I.P protection wale maafande wa FFU wanavyobebaga silaha na ile mikimbio yao msafara ukianza,mi huwa wanikosha sana.
Aidha, juu nmeona jamaa anasema PT ni njaa kuliko UT,ukweli ni kwamba PT wapo vizuri maana wana hela halali za nje na mshahara(escort,malindo..) uhamiaji hamna kitu labda wale rushwa ambapo hata PT akiamua kula rushwa bado atakuwa yupo juu.Vazi la polisi lina thamani sana na ndio maana PGO imekataza kudhurura na unifomj kama haupo kazini maana unaweza litumia vibaya kujipatia kipato.
Mkuu kuna ukweli wowote hapaMagereza wana mafunzo magumu kuliko hata hao JW kwenye ukakamavu..sema tu uraiani watu ambao hawajui wanaonaga JW ndio kila kitu na wana matizi magumu
Mafunzo ya miezi 9 kila siku unaamka saa 6 kasoro za usiku unasema mserereko?una shida wewe yani huko magereza wenye utimamu kidogo ni hao Kmkm ila wengine ni wala chipsi watoto laini.Aaaaha hapo sawa ...watu wanadhanigi PT ni mserereko sana mafunzo yao