UT ukienda huko hutokuwa tofauti na raia;jamaa katika vituo vya wilayani daily wanavaa kiraia halafu wikend hawaendi kazini eti wanajiita jeshi.[emoji23]
Ukipata PT ujiko mzee mi ningekua huko ningependa wanipange kitengo cha V.I.P protection wale maafande wa FFU wanavyobebaga silaha na ile mikimbio yao msafara ukianza,mi huwa wanikosha sana.
Aidha, juu nmeona jamaa anasema PT ni njaa kuliko UT,ukweli ni kwamba PT wapo vizuri maana wana hela halali za nje na mshahara(escort,malindo..) uhamiaji hamna kitu labda wale rushwa ambapo hata PT akiamua kula rushwa bado atakuwa yupo juu.Vazi la polisi lina thamani sana na ndio maana PGO imekataza kudhurura na unifomj kama haupo kazini maana unaweza litumia vibaya kujipatia kipato.