Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mbinu za kimedani zipo nyingi saaana na zina ufanisi wa 100%

Tafuta mbanga mkubwa yoyote awe jeshini au mwanasiasa angalia anapofanyia ibada then wewe kaongee na wazee wa kanisa au msikiti wakuunganishe nae

Chunguza mbanga anapofanyia ibada then after ibada mtokee

Alafu kuna moja hii ni high technique method huwa naitumia mm na imenisaidia saa kuanzia form two mpaka diploma nikafaulu vizuri (hii sitoitaja coz bado naitumia kwa jamaa wangu wa ikulu)
Ufanisi wake
•ilifanya nipate nida kwa masaa mawili tu
•ilifanya nipate sehemu nzuri za kufanyia field
•ilifanya nipate GPA 4.7
•ilifanya nipate gape tpa
Oi nifanyie mpango tpa hata kubeba mizigo msster
 
ni kweli mkuu kwenye pared hao polis na jkt wapo vizuri na magereza wananyanyua miguu usawa wa kitovu ni hatari dadeq,JW ni watu wa mseleleko nimejifunza hicho kitu hawapendi kuteseka [emoji23] ndo mana wanapenda kusema sifa kitengo jeshini
Magereza wana mafunzo magumu kuliko hata hao JW kwenye ukakamavu..sema tu uraiani watu ambao hawajui wanaonaga JW ndio kila kitu na wana matizi magumu
 
Kaka zama PT utakuja kunikumbuka
Jeshi jipya kupanda chap. Ila PT dadek utasubiri sana 😂. PT kwa upande wangu ni rahisi kuingia sina tabu nako huko. Issue ni UT hapa. Nikikosa UT nitajipeleka tu PT kama mishe za kitaa zitakuw hazijatiki.
 
Ungezama mwaka jana ..sasa hv ungekua unajiandaa kuingia lindo
Au ungewekwa traffic ww unaonekana una maelekezo muhimu
Jeshi jipya kupanda chap. Ila PT dadek utasubiri sana 😂. PT kwa upande wangu ni rahisi kuingia sina tabu nako huko. Issue ni UT hapa. Nikikosa UT nitajipeleka tu PT kama mishe za kitaa zitakuw hazijatiki.
 
Jeshi jipya kupanda chap. Ila PT dadek utasubiri sana [emoji23]. PT kwa upande wangu ni rahisi kuingia sina tabu nako huko. Issue ni UT hapa. Nikikosa UT nitajipeleka tu PT kama mishe za kitaa zitakuw hazijatiki.
UT ukienda huko hutokuwa tofauti na raia;jamaa katika vituo vya wilayani daily wanavaa kiraia halafu wikend hawaendi kazini eti wanajiita jeshi.[emoji23]
Ukipata PT ujiko mzee mi ningekua huko ningependa wanipange kitengo cha V.I.P protection wale maafande wa FFU wanavyobebaga silaha na ile mikimbio yao msafara ukianza,mi huwa wanikosha sana.

Aidha, juu nmeona jamaa anasema PT ni njaa kuliko UT,ukweli ni kwamba PT wapo vizuri maana wana hela halali za nje na mshahara(escort,malindo..) uhamiaji hamna kitu labda wale rushwa ambapo hata PT akiamua kula rushwa bado atakuwa yupo juu.Vazi la polisi lina thamani sana na ndio maana PGO imekataza kudhurura na unifomu kama haupo kazini maana unaweza litumia vibaya kujipatia kipato.
 
UT ukienda huko hutokuwa tofauti na raia;jamaa katika vituo vya wilayani daily wanavaa kiraia halafu wikend hawaendi kazini eti wanajiita jeshi.[emoji23]
Ukipata PT ujiko mzee mi ningekua huko ningependa wanipange kitengo cha V.I.P protection wale maafande wa FFU wanavyobebaga silaha na ile mikimbio yao msafara ukianza,mi huwa wanikosha sana.

Aidha, juu nmeona jamaa anasema PT ni njaa kuliko UT,ukweli ni kwamba PT wapo vizuri maana wana hela halali za nje na mshahara(escort,malindo..) uhamiaji hamna kitu labda wale rushwa ambapo hata PT akiamua kula rushwa bado atakuwa yupo juu.Vazi la polisi lina thamani sana na ndio maana PGO imekataza kudhurura na unifomj kama haupo kazini maana unaweza litumia vibaya kujipatia kipato.
Nimemwambia jamaa aende PT atakuja kunishukuru 5 years to come
 
Back
Top Bottom