Hata mimi nimeliona kuna mda na scroll down tu Sababu unakuta mtu anaadithia maisha yake yote ya JKTHawawaambii, ila hizo too much JKT stories zinaanza kukera!!!
Wakuu punguzeni hizo mambo, kila mtu akianza kupiga story kuhusu huko JKT akikotoka tutaaribi maudhui ya uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maafande wanafanya kazi nzuri kutupa experience ya CCP wengine wanachafua na JKT...Hata mimi nimeliona kuna mda na scroll down tu Sababu unakuta mtu anaadithia maisha yake yote ya JKT
Anaonekana kabisa ni mtu wa kupeperusha watu aseeMadogo mnaokuja TPS-MOSHI njoeni kwa nidhamu na weredi mkubwa ,mtakutana na chuma hiki Cha kinyakyusa hakina mbambamba nikupepea tu moja kwa moja ukileta ujuaji na malingaling yakoView attachment 2462395
pamoja mkuuHapana . Ni ya mkaa tu ndio inatakiwa ili wakupe kazi ya kuwasha moto na kuichochea 😂.
Me nikifika huko nitatii kila amri nalipenda jeshi la polisi ,✍️Madogo mnaokuja TPS-MOSHI njoeni kwa nidhamu na weredi mkubwa ,mtakutana na chuma hiki Cha kinyakyusa hakina mbambamba nikupepea tu moja kwa moja ukileta ujuaji na malingaling yakoView attachment 2462395
Hahaha Chief Instructor Mwenyewe, Mghasia wa ukweli, Mtaalamu wa silaha..Assistant Commissioner of Police Nsemwa 🙌🙌 hatari sana mwamba huyu ila ni mtu poa sana pia. Akikupiga pindi la weapon huyu usipoelewa nenda kakate kichwa maana utakuw hauna kitu kichwani. 😂😂🙌Madogo mnaokuja TPS-MOSHI njoeni kwa nidhamu na weredi mkubwa ,mtakutana na chuma hiki Cha kinyakyusa hakina mbambamba nikupepea tu moja kwa moja ukileta ujuaji na malingaling yakoView attachment 2462395
Hahahahahahahahhahahahaa eti yanakutukana,hlf anaeitwa anakuja mbio kbsa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbaji mwembamba hv uso wake kama kalewa muda wote....huyo anakera mno kwenye maovyoovyo
Mbaji siku ya kwanza amekuja Bravo alikuja na mayai mawili mabichi akayavunja halafu akanywa mabichi hvyo hvyo likasema hapa natengeneza sauti ya parade...
Mbaji walikua na jamaa yake mwingine mweusi walikua wanaitana kwa nguvu mno hata yakiwa mbali utasikia babaaaaa baabaa njooo huku yanakutukana babaaaaa
ccp lonja nyingi. kichaka miba lonja hamna kabisa kulikoni makamishna shusheni lonja zote ,hta za zimamoto
pamoja afsaWatu wa uhamiaji au majeshi mengine hawapo humu. Uhamiaji wangekuwepo wangesaidia sana kwa vijana kujua mambo ya Boma na issue za course .
Mererani kakaOp gan mkuu
Unajuaje kama ana connection kubwa ?Polis bila jkt hutoboi nisikupe moyo pia muda ushapita
Huyo sharobaro mweupe hivi....wapo hapo sio kwa adhabu ..kuna captain mmoja kama unamkumbuka alikua black hv smart sana anapenda kutumia neno "brothers" huyo captain ndio alituambia makomandoo wapo pale kwasababu hizo kambi zipo mipakani na ilikua ya wakimbizi ..wapo pale kwasababu za kiusalamaWale komandooo sisi ndo walitukuta na wapo pale kwa adhabu maalumu kuna mmoja big alafu mwingine sharobaro hv akitembea bega moja analiinamisha wale jamaa waligomaga kula messi hawashibi wakawa wanajipikia wenyewe
Wale wana utawala sana ..kwanza pale kambini walikua hawapangiwi guard wala kazi yoyote ..ni wao tu walikua wanajitolea kuwasaidia kuruta kwataNdege tai sema wale komandoo nilikuwa nawakubali kwanza kwenye mazoezi alafu kwenye range ukipangwa kwenda kwake anakuelekeza vzr na shabaha unapiga kuanzia 2 mpaka 3, wakubwa wenyewe walikuwa wanawaogopa, kwanza wale jamaa hata master pared hawakai, hawashiki silaha kulinda, mpk mkuu wa kambi akawa anasema waacheni tu
Swali la muhimu ni lazima uende na hyo pasi ? [emoji3]kuenda na pasi ya umeme inaruhusiwa Ccp?
nimejibiwa pasi ya mkaa tu.Swali la muhimu ni lazima uende na hyo pasi ? [emoji3]
Mkuu usije jaza tranka likakutesa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hatari na nusu ,mkuuHahaha Chief Instructor Mwenyewe, Mghasia wa ukweli, Mtaalamu wa silaha..Assistant Commissioner of Police Nsemwa [emoji119][emoji119] hatari sana mwamba huyu ila ni mtu poa sana pia. Akikupiga pindi la weapon huyu usipoelewa nenda kakate kichwa maana utakuw hauna kitu kichwani. [emoji23][emoji23][emoji119]
safi dogo, njoo tukupe ukamanda ndio kazi yetu sisiMe nikifika huko nitatii kila amri nalipenda jeshi la polisi ,[emoji3578]