Naimani katika uzi huu kuna wakulu waliopo jikoni kabisa wakutupa lonja za uakika ,binafsi nafurahi sana kupata lonja kwa wakubwa na watangulia wetu waliopo humu ndani ,wanaotupa miongozo kiukweli tunapata nguvu sana ..One dai wote kwa pamoja tutakuwa katika vazi la kufanana ...Mshati wa Kaki π
Amen amenNaimani katika uzi huu kuna wakulu waliopo jikoni kabisa wakutupa lonja za uakika ,binafsi nafurahi sana kupata lonja kwa wakubwa na watangulia wetu waliopo humu ndani ,wanaotupa miongozo kiukweli tunapata nguvu sana ..One dai wote kwa pamoja tutakuwa katika vazi la kufanana ...Mshati wa Kaki π
Amini kiongoz ..tutakutana Usaili na baadae CCP Moshi jah blessAmen amen
Tunywe maji mengi , moyo uelee
300k -400k gross salaryHvi hawa wanaofanya kazi tigo shop au voda shop wanalipwaje wakuu kuna kazi kimekuja mbeleni mwangu
Γsante mkuu ngoja niwasikilizie nao mana majeshi hayaeleweki natega kote kote tu300k -400k gross salary
sijajua ww .mtanegotiate vp
Saa kumi Saa kumi kama kawaaYule Mwamba ni kamanda asee. Yani mnaweza mchukia ila jamaa anatoa askari. Anaweza akawapa kazi kisa mmeoga vizur na kupendeza au umepaka pafyumu [emoji23]. Anakuambia askari upo porini unanukia pafyumu, hapana. Mnaanza maovyo ovyo...au usiombe mpo pori afu Yanga ikafungwa mtakula kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] ila at the end mnazoea
Mbona wamtajia salary ata bila kumuuliza anauliza mwenye taaluma gani huko ndani ya tgo shop au Voda shop300k -400k gross salary
sijajua ww .mtanegotiate vp
Uelekeo Kwa babu au shamba duniaDadeki kambi za kigoma sio. Nilipita Kanembwa enzi zetu. Tulikuw tunakula scale za hatari sana..hamna cha mujibu wala kujitolea
Hahahahah,nimechekaYule Mwamba ni kamanda asee. Yani mnaweza mchukia ila jamaa anatoa askari. Anaweza akawapa kazi kisa mmeoga vizur na kupendeza au umepaka pafyumu π. Anakuambia askari upo porini unanukia pafyumu, hapana. Mnaanza maovyo ovyo...au usiombe mpo pori afu Yanga ikafungwa mtakula kazi ππππ ila at the end mnazoea
IshaelewekaMbona wamtajia salary ata bila kumuuliza anauliza mwenye taaluma gani huko ndani ya tgo shop au Voda shop
pamoja damu yanguUsiku mwema askari wenzangu,tusisahau kusali mungu ndiye atakaye tuvusha
πππ Utafuliwa we tii tu Kila amriMe nikifika huko nitatii kila amri nalipenda jeshi la polisi ,βοΈ
PSRS wanachezesha sanaaπππ ni mwendo wa peresuperesuHuo mkeka wa polisi Tanzania(PT) wautoe tu.
Maana ndio sehemu ambayo imebeba natumaini yangu.
Huku PSRS nishapigwa ndoige mpaka nimechakaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ndo maana avatar yako umemuweka uyo short kumbe nawewe ni wale wale, Me nilikuwa guard ya demo ya kwanza Kikosi cha kwanza File la tatu mtu wa mbele kabisaGadi ya nneeeeeeeeeee
Usawa kuliaaaaa
GAdi yangu ya mashort hii
ππ eeh boss sema Tyrion ni dwarf tu[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ndo maana avatar yako umemuweka uyo short kumbe nawewe ni wale wale, Me nilikuwa guard ya demo ya kwanza Kikosi cha kwanza File la tatu mtu wa mbele kabisa