MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Ukikutana na wanaa kwenye usaili PT chap wanakukata kwa kigezo cha urefuππ eeh boss sema Tyrion ni dwarf tu
Me nipo 5'2
Tutapambana naoUkikutana na wanaa kwenye usaili PT chap wanakukata kwa kigezo cha urefu
Magereza ndio usipime issue ya urefu ndio wamenyooka labda uwe na maelekezo.
Otherwise kama hutaki kuiva , lakini kikombe ni kilekile Ili ukwive dogo
WelcomeSoon [emoji776]
Safi chief hyo nzuri sanaMadogo Nimesoma Chats zenu zote ...
Hii inanipa faraja kubwa sana Moyoni Kwani mna MORALI wa juu sana ... Huo Morali udumu mpk Mwisho, kwani morali ni Moja ya vitu muhimu Kwa Askari ukitoa Mobility , Fire Controls etc. Miaka 7 Nyuma tulikua hapa kama nyie hv.
Wengi wenu mna uzoefu wa Kozi ya Mujibu ya Jkt ( 3Months Compulsory Attendance ) .
Haaa haaa sio kozi Janja Ile ni sawa na Seminar tu , Maelekezo mengi sana Ile .
Kozi ya Kuandaa Askari ni Vita maelekezo yatatoka mara Moja tu kulingana na muundo mahitajio ya wakati husika.
Nendeni na mfuate maelekezo mtakayopewa na wakufunzi wenu. Mtamaliza na kukabidhiwa majukumu yenu , Opposite yake Mtabaki nusu.
Nidhamu na uvumilivu.
Marekebisho mkuu..haijirudii tenaSema nyie jamaa na story zenu za JKT mnazingua kisenge kila mtu kapita JKT so hakuna chochote special cha kujivunia.
Unakuja uzi una replies nyingi unajua utapata madini kumbe mananga mawili yanapiga story za kitoto.
Wazi afande.Otherwise kama hutaki kuiva , lakini kikombe ni kilekile Ili ukwive dogo
Asilimia kubwa waliopita Jkt usiwaambie kitu wanaona wameyamaliza maisha kumbe ni masikini kama masikini wengine , hawanaga jipya , sana sana wameathirika kiasaikolojia , mitaani wanavyoishi ni Pombe, umalaya , ukabaji na mambo yasiyofaa kwa jamii , kibaya zaidi wanaamini wao ni bora .Sema nyie jamaa na story zenu za JKT mnazingua kisenge kila mtu kapita JKT so hakuna chochote special cha kujivunia.
Unakuja uzi una replies nyingi unajua utapata madini kumbe mananga mawili yanapiga story za kitoto.
Ni wachane tu ukweli hasa hawa wanaoleta story nyingi za jkt humuSema nyie jamaa na story zenu za JKT mnazingua kisenge kila mtu kapita JKT so hakuna chochote special cha kujivunia.
Unakuja uzi una replies nyingi unajua utapata madini kumbe mananga mawili yanapiga story za kitoto.
Wambwaweee kwaiyo mimi mwenye 27 Sina akili wewe ulie nazo uko wapi jitafuteJeshi la polisi halitaki walio na akili ndo mana linataka waliopata div 4 ya 28 mpaka 32πππ
[emoji28][emoji28][emoji28] sio poa..Nakumbuka kipindi tupo kwenye mafunzo ya pori kulikuwa hakuna route za msosi yani mkitoka kwenye kipindi ni kurudisha siraha na kwenda messi kupata chakula[emoji1732]
Sasa akatokea mpumbavu akaropoka et jkt tulikuwa tunapassword ya msosi huku polisi hakuna kozi ni kama vile tupo semina aisee kwanza tulipigwa doso la kufa raia afu kesho yake mpk mafunzo ya pori yanaisha ni mbio za milima tu
Yani tulikuwa tunapigwa route ambazo hata jkt hazipo afu ukikosa chakula wao hawajali unaweza shinda njaa siku nzima na hakuna wa kukutetea
Ukiwa mzuri kwenye mbio utabeba hata trey la mkate ya platuni nzima na wengne wanakosa hasa mademu... Unaweza ukawa na hela na isikusaidie porini
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleweka vyema kakaMadogo Nimesoma Chats zenu zote ...
Hii inanipa faraja kubwa sana Moyoni Kwani mna MORALI wa juu sana ... Huo Morali udumu mpk Mwisho, kwani morali ni Moja ya vitu muhimu Kwa Askari ukitoa Mobility , Fire Controls etc. Miaka 7 Nyuma tulikua hapa kama nyie hv.
Wengi wenu mna uzoefu wa Kozi ya Mujibu ya Jkt ( 3Months Compulsory Attendance ) .
Haaa haaa sio kozi Janja Ile ni sawa na Seminar tu , Maelekezo mengi sana Ile .
Kozi ya Kuandaa Askari ni Vita maelekezo yatatoka mara Moja tu kulingana na muundo mahitajio ya wakati husika.
Nendeni na mfuate maelekezo mtakayopewa na wakufunzi wenu. Mtamaliza na kukabidhiwa majukumu yenu , Opposite yake Mtabaki nusu.
Nidhamu na uvumilivu.
Pia ,sio lazima kila mtu apitie jkt ndio maana kuna Jku kwa zanzibar, pia kuna kozi za jeshi usu ambayo ni kama Jkt kupitia mafunzo ya kijeshi na silaha na kozi za porini ambazo huendeshwa ktk vyuo vya askari uhifadhi wanyamapori kama chuo cha kimataifa cha afrika cha uhifadhi wanyamapori & utalii mweka kilichopo moshi na Chuo cha Pasiansi kilichopo mkoani Mwanza ambapo maafisa askari wadogo na wakubwa hupitia mafunzo pamoja na taaluma ktk kipindi chao chote cha taaluma ambapo askari wakufunzi hutoka Jwtz ya MonduliUnajuaje kama ana connection kubwa ?
Unaweza sema jamaa hatoboi alafu akatoboa na wewe ukabaki.
Kimsingi tusubiri tu pdf tuache maneno haya.