Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Binafsi nimeanza kuona kozi ya PT inamakandokando aise, bora niitwe fire au Uhamiaji Tz.
Tofauti kabisa na JW maana JW wanamsemo wao wanakuambia kunywa maji mengi andaa nguvu .

PT ni chaguo langu la mwisho
 
Madogo Nimesoma Chats zenu zote ...
Hii inanipa faraja kubwa sana Moyoni Kwani mna MORALI wa juu sana ... Huo Morali udumu mpk Mwisho, kwani morali ni Moja ya vitu muhimu Kwa Askari ukitoa Mobility , Fire Controls etc. Miaka 7 Nyuma tulikua hapa kama nyie hv.
Wengi wenu mna uzoefu wa Kozi ya Mujibu ya Jkt ( 3Months Compulsory Attendance ) .

Haaa haaa sio kozi Janja Ile ni sawa na Seminar tu , Maelekezo mengi sana Ile .
Kozi ya Kuandaa Askari ni Vita maelekezo yatatoka mara Moja tu kulingana na muundo mahitajio ya wakati husika.
Nendeni na mfuate maelekezo mtakayopewa na wakufunzi wenu. Mtamaliza na kukabidhiwa majukumu yenu , Opposite yake Mtabaki nusu.

Nidhamu na uvumilivu.
Safi chief hyo nzuri sana
 
Sema nyie jamaa na story zenu za JKT mnazingua kisenge kila mtu kapita JKT so hakuna chochote special cha kujivunia.

Unakuja uzi una replies nyingi unajua utapata madini kumbe mananga mawili yanapiga story za kitoto.
Asilimia kubwa waliopita Jkt usiwaambie kitu wanaona wameyamaliza maisha kumbe ni masikini kama masikini wengine , hawanaga jipya , sana sana wameathirika kiasaikolojia , mitaani wanavyoishi ni Pombe, umalaya , ukabaji na mambo yasiyofaa kwa jamii , kibaya zaidi wanaamini wao ni bora .
 
Sema nyie jamaa na story zenu za JKT mnazingua kisenge kila mtu kapita JKT so hakuna chochote special cha kujivunia.

Unakuja uzi una replies nyingi unajua utapata madini kumbe mananga mawili yanapiga story za kitoto.
Ni wachane tu ukweli hasa hawa wanaoleta story nyingi za jkt humu
Jkt imetufunza ukakamavu kila mtu anajua ila usifikiri ccp ukileta ujuaji na story za jkt eti ndo utaonekana kamanda big noo! Zama za kutambiana kuhusu jkt zimeshapita maana sahv polisi hawachukui raia tena kama zamani..!
Tena asilimia zaidi ya 80 ya wakufunzi wote ni zao la jkt afu wapo kimya tu ila wachokoze sasa uone moto.

Wewe kama ulikuwa mzuri wa kwata jkt polisi kwata yao ni tofauti kidogo so uache ujuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli stereotype ya Vijana waliopita National Service huamini wao ndiyo kila kitu kwenye maisha ya kozi ya ajira,hii huwafanya wapate sana shida kipindi cha kozi za ajira hiyo ipo hata huku Sekta binafsi watu wakitoka chuo na kuingia kazini huleta ujuaji wa kishule shule ilihali uhalisia ni tofauti.
 
Nakumbuka kipindi tupo kwenye mafunzo ya pori kulikuwa hakuna route za msosi yani mkitoka kwenye kipindi ni kurudisha siraha na kwenda messi kupata chakula[emoji1732]
Sasa akatokea mpumbavu akaropoka et jkt tulikuwa tunapassword ya msosi huku polisi hakuna kozi ni kama vile tupo semina aisee kwanza tulipigwa doso la kufa raia afu kesho yake mpk mafunzo ya pori yanaisha ni mbio za milima tu

Yani tulikuwa tunapigwa route ambazo hata jkt hazipo afu ukikosa chakula wao hawajali unaweza shinda njaa siku nzima na hakuna wa kukutetea
Ukiwa mzuri kwenye mbio utabeba hata trey la mkate ya platuni nzima na wengne wanakosa hasa mademu... Unaweza ukawa na hela na isikusaidie porini

Muwe makini sana kuropoka mambo ya jkt mtafanya kozi yenu iwe ngumu bila sababu za msingi.
Afu ukizingatia polisi na wanajeshi huwa siku zote hawapendani huo ndo uhalisia wa mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu kila mtu kapita JKT wanandugu.

Hata mimi nilipita pale kj 838 kwa Lt colonel Muruga.

Na mimi nikianza kuwapamba ma udal koplo na ma sir major wangu tutaharibu dhima ya huu uzi pendwa.

Sidhani JKT ndio content ya huu uzi..

Content ya huu uzi ni kujadili jinsi gani tunaweza pata nafasi PT pamoja na kushea mbinu za kuishi endapo tutakapokua CCP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oyaa hizi pisii mnazikumbuka
FB_IMG_1672388751014.jpg
 
Nakumbuka kipindi tupo kwenye mafunzo ya pori kulikuwa hakuna route za msosi yani mkitoka kwenye kipindi ni kurudisha siraha na kwenda messi kupata chakula[emoji1732]
Sasa akatokea mpumbavu akaropoka et jkt tulikuwa tunapassword ya msosi huku polisi hakuna kozi ni kama vile tupo semina aisee kwanza tulipigwa doso la kufa raia afu kesho yake mpk mafunzo ya pori yanaisha ni mbio za milima tu

Yani tulikuwa tunapigwa route ambazo hata jkt hazipo afu ukikosa chakula wao hawajali unaweza shinda njaa siku nzima na hakuna wa kukutetea
Ukiwa mzuri kwenye mbio utabeba hata trey la mkate ya platuni nzima na wengne wanakosa hasa mademu... Unaweza ukawa na hela na isikusaidie porini

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28] sio poa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madogo Nimesoma Chats zenu zote ...
Hii inanipa faraja kubwa sana Moyoni Kwani mna MORALI wa juu sana ... Huo Morali udumu mpk Mwisho, kwani morali ni Moja ya vitu muhimu Kwa Askari ukitoa Mobility , Fire Controls etc. Miaka 7 Nyuma tulikua hapa kama nyie hv.
Wengi wenu mna uzoefu wa Kozi ya Mujibu ya Jkt ( 3Months Compulsory Attendance ) .

Haaa haaa sio kozi Janja Ile ni sawa na Seminar tu , Maelekezo mengi sana Ile .
Kozi ya Kuandaa Askari ni Vita maelekezo yatatoka mara Moja tu kulingana na muundo mahitajio ya wakati husika.
Nendeni na mfuate maelekezo mtakayopewa na wakufunzi wenu. Mtamaliza na kukabidhiwa majukumu yenu , Opposite yake Mtabaki nusu.

Nidhamu na uvumilivu.
Umeeleweka vyema kaka
 
Unajuaje kama ana connection kubwa ?
Unaweza sema jamaa hatoboi alafu akatoboa na wewe ukabaki.
Kimsingi tusubiri tu pdf tuache maneno haya.
Pia ,sio lazima kila mtu apitie jkt ndio maana kuna Jku kwa zanzibar, pia kuna kozi za jeshi usu ambayo ni kama Jkt kupitia mafunzo ya kijeshi na silaha na kozi za porini ambazo huendeshwa ktk vyuo vya askari uhifadhi wanyamapori kama chuo cha kimataifa cha afrika cha uhifadhi wanyamapori & utalii mweka kilichopo moshi na Chuo cha Pasiansi kilichopo mkoani Mwanza ambapo maafisa askari wadogo na wakubwa hupitia mafunzo pamoja na taaluma ktk kipindi chao chote cha taaluma ambapo askari wakufunzi hutoka Jwtz ya Monduli
 
Back
Top Bottom