Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Inategemeana na aina ya sajentisajenti kupambania izo nafasi ngumu sana mkuu tusilaumu sana huwenda mungu ametuandalia nafasi bora zaidi
good news mkuuWaliopinga kuwa kuanzia Tarehe 2 usaili PT mikoani unaanza wako wapi...!!!??
Watu wangu wa Mbya mjipe moyo mtatoboa salama hadi Ijumaa hii usaili utakapomalizika!!
Kuanzia next week, pdf la wasomi litaangushwa muda wowote !!
Hahahaha Madame hela za sensa zimeisha sahivi mweupe peee,alafu umejificha Sana huko mchukuuninaona ukanikimbia baada ya kumaliza sensa
Wanapanda mbna kipind nipo site upanga tushapanda nao Sana kwenye kostaHii nilisikia maafisa wa jeshi hawatakiwi kupanda daladala sina hakika lakini.
Hahahaha [emoji1787]Mkuu wanajuaje kama wewe ni kilaza au wana vipimo vyao
PDF lini wazeeKuna mkoa X wamechukuliwa div one,two na Three wale Division four wameachwa,saili ya mkoani huko
Hizi ni saili za nini unazozizungumzia mkuu ?Kuna mkoa X wamechukuliwa div one,two na Three wale Division four wameachwa,saili ya mkoani huko
Mkoani kwan kuna saili nyingine tofauti na PT mkuu?Hizi ni saili za nini unazozizungumzia mkuu ?
We jamaa pitia homework yako vizur viswali vidogo kama vy ranking visije kukutoa kwenye usaili
duh hizo milioni na ushee?? hope umefanya jambo la kumbukumbu lakini, nipo nakula upepo wa bahariHahahaha Madame hela za sensa zimeisha sahivi mweupe peee,alafu umejificha Sana huko mchukuuni
Ni mdogo majibu yake ni subiri kwanza nikimpigia simu ananambia ntakutafuta ngoja ndo mazima kimya kikali kuna day nikamuandikia essay ndefu sana alaf nkakata mawasiliano..Hahahahahaa ni baba yako mdogo au mkubwa? Na alikujibu nin?
Hayo ndio mambo sasa kusaidianaInategemeana na aina ya sajenti
Mwanajeshi mwenye cheo kikubwa kabisa mkoani kwangu ni KANAL lakin Watoto wa kaka yake ambao ni yatima now wawili ni mafundi ujenzi mmoja ni dancer na mmoja mwingine ni bodaboda
Huyo kanal dereva wake ni staff sajent kaingiza watoto wake wawili JW na mwungine yupo tanapa
Mkuu mkoa gani huo?.Kuna mkoa X wamechukuliwa div one,two na Three wale Division four wameachwa,saili ya mkoani huko
yeah,inawezekana lakin mambo mengine si ya kulaumu sana huenda mbelen tukawa na nafas nzuri zaid ya hzi tunazopambaniaInategemeana na aina ya sajenti
Mwanajeshi mwenye cheo kikubwa kabisa mkoani kwangu ni KANAL lakin Watoto wa kaka yake ambao ni yatima now wawili ni mafundi ujenzi mmoja ni dancer na mmoja mwingine ni bodaboda
Huyo kanal dereva wake ni staff sajent kaingiza watoto wake wawili JW na mwungine yupo tanapa
Fire walitangaza ajira nao toka zamani kuliko polisi au fire nao hawafanyiaga mikoani ?Mkoani kwan kuna saili nyingine tofauti na PT mkuu?
Fire wanafanyia mkoani?? Sio Dom kweli?Fire walitangaza ajira nao toka zamani kuliko polisi au fire nao hawafanyiaga mikoani ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app