Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

sajenti kupambania izo nafasi ngumu sana mkuu tusilaumu sana huwenda mungu ametuandalia nafasi bora zaidi
Inategemeana na aina ya sajenti
Mwanajeshi mwenye cheo kikubwa kabisa mkoani kwangu ni KANAL lakin Watoto wa kaka yake ambao ni yatima now wawili ni mafundi ujenzi mmoja ni dancer na mmoja mwingine ni bodaboda

Huyo kanal dereva wake ni staff sajent kaingiza watoto wake wawili JW na mwungine yupo tanapa
 
Hayo ndio mambo sasa kusaidiana
 
Inategemeana na aina ya sajenti
Mwanajeshi mwenye cheo kikubwa kabisa mkoani kwangu ni KANAL lakin Watoto wa kaka yake ambao ni yatima now wawili ni mafundi ujenzi mmoja ni dancer na mmoja mwingine ni bodaboda

Huyo kanal dereva wake ni staff sajent kaingiza watoto wake wawili JW na mwungine yupo tanapa
yeah,inawezekana lakin mambo mengine si ya kulaumu sana huenda mbelen tukawa na nafas nzuri zaid ya hzi tunazopambania
 
Back
Top Bottom