Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Inategemeana na aina ya sajentisajenti kupambania izo nafasi ngumu sana mkuu tusilaumu sana huwenda mungu ametuandalia nafasi bora zaidi
Mwanajeshi mwenye cheo kikubwa kabisa mkoani kwangu ni KANAL lakin Watoto wa kaka yake ambao ni yatima now wawili ni mafundi ujenzi mmoja ni dancer na mmoja mwingine ni bodaboda
Huyo kanal dereva wake ni staff sajent kaingiza watoto wake wawili JW na mwungine yupo tanapa