Intro ya polisi ni siku unafika kambini. Ni kati ya siku ambazo utazikumbuka sana kama ukifanikiwa kufika.kwani intro si inakuwaga baada ya muda Fulani ,huo muda ambao tutaachiwa kabla ya intro nitakula tizi hata jkt nilifanya HV hv,yaani pumzi ilikuwa kisoda Ila baada ya mda niliadapt nikawa hatari Kama mtu wa marathon
Litupie tu humu wadau walisomeKwa form 4,lkn
Aise emb tuone tangazoNafasi za kazi za magereza zimetoka
Siku ya kwanza wanakiamshaIntro ya polisi ni siku unafika kambini. Ni kati ya siku ambazo utazikumbuka sana kama ukifanikiwa kufika.
Hapa itabidi tutumie cheti cha form 4..maana hawajalimit mwaka wa kumaliza
Yaani kiukweli magereza hawanaga mbambamba kabisaaHapa itabidi tutumie cheti cha form 4..maana hawajalimit mwaka wa kumaliza
Mwaka jana walinitoa mchujo wa mapema sana....ngja nitengeneze connection wilaya ambayo haina watu wengi nitimbe usahili huko hukoYaani kiukweli magereza hawanaga mbambamba kabisaa
Najaribu kutuma lkn linagoma,watu wa Google kazi za magereza 2023Litupie tu humu wadau walisome
Hizi ajira hazijawahi kuwa rahisi ukabweteka kikubwa ni kupambanaMagereza wametema, mazee ufupi huu. Nasikia magereza kutoboa ni easy sana hata kama huna mbaga kikubwa uwe tall .
Sijaelewa swaliIvi kwa wale uliofanya interview magereza,Kuna mtu anamiaka 25,na anacheti Cha JKT? Alienda mda gani Yani
Mchawi umri tu magereza aseeMagereza wametema, mazee ufupi huu. Nasikia magereza kutoboa ni easy sana hata kama huna mbaga kikubwa uwe tall .
Mwezi wa 2 mbna kama tutakua tumeshavuka 😀Mchawi umri magereza
Jamaa wa ikulu kupost picha yupo uwanja wa ndege sijajua ni uwanja gan ila nimeona neno kama "OLIVA TEMBO airport " sasa ole wake nikose nafasi hizi na aliniambia hata barua nisiandike
Toka mwaka juzi hawatuchukui wanakuja mwishon tushazeekaMwezi wa 2 mbna kama tutakua tumeshavuka [emoji3]