Intro ya polisi ni siku unafika kambini. Ni kati ya siku ambazo utazikumbuka sana kama ukifanikiwa kufika.kwani intro si inakuwaga baada ya muda Fulani ,huo muda ambao tutaachiwa kabla ya intro nitakula tizi hata jkt nilifanya HV hv,yaani pumzi ilikuwa kisoda Ila baada ya mda niliadapt nikawa hatari Kama mtu wa marathon