Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

MLEVi Mmoja magereza wa 4m 4 anachukua ngapi kwa mwezi
Mkuu sifahamu wanavyodai wizara ya ndani mishahara inafanana au imetofautiana kidogo ukijua polisi form 4 anapata ngapi pengine labda tutapata jibu

Ila nilivyosikia warder mwenye form 4 anaanza na kilo 4


Nadhani kunguru wa Manzese akirudi atatoa habari zote hadi jibu la swali hili maana wakati huo usaili magereza ndio utakuwa umepamba moto

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Me popote kambi najua ajira zimetoka nyingi nyingi moyo upo Sana polis ila kokote nitapapenda na kufanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…