Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Nasubiria jibu me mwnywe la hili swali lakoHuu usaili wanafanya makambini au msata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiria jibu me mwnywe la hili swali lakoHuu usaili wanafanya makambini au msata?
Mkuu sifahamu wanavyodai wizara ya ndani mishahara inafanana au imetofautiana kidogo ukijua polisi form 4 anapata ngapi pengine labda tutapata jibuMLEVi Mmoja magereza wa 4m 4 anachukua ngapi kwa mwezi
msata washaanza tar 4 walio makambini wanaanza wik ijayoNasubiria jibu me mwnywe la hili swali lako
Kozi ndo wameanza tarehe 4?? Na huo usahili inakuwaje wakati wengine wapo kozi au waliopo kozi watahamishwa?msata washaanza tar 4 walio makambini wanaanza wik ijayo
wameanza usahili sio kozi,Kozi ndo wameanza tarehe 4?? Na huo usahili inakuwaje wakati wengine wapo kozi au waliopo kozi watahamishwa?
Daaah sio poaNahisi kuna ukweli ,maana PCCB mwaka jana watu walilalamika sana Magumashi kwenye usahili ,wengi waliohudhuria wanasema hivyo
😅😂😂MLEVi Mmoja magereza wa 4m 4 anachukua ngapi kwa mwezi
Wapi mzee?
Nendeni acheni kufuata salary life gumu ukuMagereza wametema, mazee ufupi huu. Nasikia magereza kutoboa ni easy sana hata kama huna mbaga kikubwa uwe tall .
Life n gumu kwasababu ya salary [emoji3]Nendeni acheni kufuata salary life gumu uku
Magereza safari hii umri umenitupaMe popote kambi najua ajira zimetoka nyingi nyingi moyo upo Sana polis ila kokote nitapapenda na kufanya kazi
Wakongwe sisi umri umetutupa..za proffesionals ndio zitatuhusuMagereza safari hii umri umenitupa
Mbona hata mwanzo waliweka hvyo mkuu lkn watu walizidi umriMagereza safari hii umri umenitupa
Mb na hata ya magereza ni kali [emoji23]View attachment 2471167
Sema nini wadau hii uniform kali [emoji23][emoji23][emoji23]
Kali mno ile ya kijani ndio mbayaView attachment 2471167
Sema nini wadau hii uniform kali 😂😂😂
Hii dark blue ya UT naielewa sana asee...ile pale green ya field sio kali sanaMb na hata ya magereza ni kali [emoji23]
Kabisa...kaki ya PT siikubali ila ile jungle green kaliKali mno ile ya kijani ndio mbaya