Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Captain mwenyew kuwa kamanda kikosi ni mara Chache sana, mara nyingi wanakua wana kaimu tu kwa muda
 
jeshi unalifahamu vya kutosha mkuu, Hata OC wetu mafinga jkt alikua luten. mkuu wa kikosi alikua Luteni kanali
Enzi zangu Kanembwa huko CO alikuw ni Major, CI ndio alikuw Captain na maluten walikuw kama watano tu kikosi kizima na ndio walikuw ma OC wa kombania na mmoja IO ambaye nasikia alikuja kuhamishiwa Mtabila
 
Luten? πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Nchi gani hiyo?
 
Enzi zangu Kanembwa huko CO alikuw ni Major, CI ndio alikuw Captain na maluten walikuw kama watano tu kikosi kizima na ndio walikuw ma OC wa kombania na mmoja IO ambaye nasikia alikuja kuhamishiwa Mtabila
Hivi hawa io mkuu huwaga na kazi gani maana hata pale mtabila walikuwepo hata kulinda guard wao huwaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…