Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Mkuu kanembwa huwezi rudi mnene. Nakumbuka enzi zetu watu weupe especially wakiume pamoja na vibonge walikuwa wanaanamwa kinoma. Wanene walikuwa wanaendesha zile tyre za trekta mpaka huruma.Kambi laini ni maramba jkt,unene ni mwili wapo watu wameenda kozi ya ajira tpdf wamerud na unene mbna
Pdf letu sote hiloUT tunasubir Pdf yenu
Kiufup kozi za jkt za kawaida Sana ,jkt hamna jipya usijione umeiva mkuu,kozi ngumu ni za ajira mkuuHakuna kambi laini kama Ruvu Jkt..
Watu wameenda kambi wanene wamerud vile vile
nenda mtabila au kanembwa utaelewa somo
so poa litachafua upepooPdf letu sote hilo
Lakini maafande wenu tupo 821KJ kikosi mama cha JKT zoteHakuna kambi laini kama Ruvu Jkt..
Watu wameenda kambi wanene wamerud vile vile
nenda mtabila au kanembwa utaelewa somo
It's okay pengine ni muda na muda ila pia nilikuwepo kule , pengine zamani ila saivi hamna kitu
Wanaenda mtaani kula maandazi ,mnakula machungwa tu mkuu
Naijua Vizuri sana mkuu
Kaangalie vizuri ni Zaid ya haoHivi zimamoto walitangaza nafasi za watu wangap?....
Maana naona interview wameitwa watu 101 tu.
mzee ulipita 838kj au unaongea tuUmepazarau ruvu ila si kwamba laini Bali kambi yenye miundombinu bora kuliko kambi zote za jkt,kambi laini ya jkt ni maramba jkt
maramba kuna cocoa,machungwa ni nje kidogo ya kambimnakula machungwa tu mkuu
mwenywe nimeona kama 100+ hviiKaangalie vizuri ni Zaid ya hao
Usaili utafanyika kwa siku 4. Kila siku wanafanya watu 101. Page za majina hapo ukiangalia zipo 4. Kila page ina watu 101...so piga total hapomwenywe nimeona kama 100+ hvii
Mmmh...hapanaMajina UT tarehe 28/01 around 19-20:00[emoji277]
Ruvu ni kambi laini hakuna asiyejua hili anayeteseka na kozi ruvu huyo mtoto wa mamaHiyo ni kasumba,na huo msemo unawaponza kuruti wanaokwenda pale[emoji28],kambi lelemama ni maramba jkt
Huyu sasa anataka kututoa kwenye reli[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mmmh...hapana