BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Unaongelea JW auWa mwaka jana walipiga miezi sita mkuu
Ila nilishangaa waliingia pamoja Msata na Oljolo lakini Msata walimaliza mapema ila wale wa Oljoro tarehe 30/10Wa mwaka jana walipiga miezi sita mkuu
YeahUnaongelea JW au
No mkuu Msata walianza December 2021 wakamaliza June 2022, wa Oljoro walianza March 2022 wakamaliza September 2022 so ni miezi sita sita, huwa hawaanzi wala kumaliza pamojaIla nilishangaa waliingia pamoja Msata na Oljolo lakini Msata walimaliza mapema ila wale wa Oljoro tarehe 30/10
KOzi ni miezi 4 +miezi 2 ya uzalendo =6Wa mwaka jana walipiga miezi sita mkuu
Duuh kumbe basi jamaangu aliemaliza Msata alipata kitonga kikubwa sana maana nakumbuka kama miez ya mwanzoni hivi ndo alienda na mwingine yeye alikuwa OljoloNo mkuu Msata walianza December 2021 wakamaliza June 2022, wa Oljoro walianza March 2022 wakamaliza September 2022 so ni miezi sita sita, huwa hawaanzi wala kumaliza pamoja
Uzalendo sio mwezi mmoja kaka?K
KOzi ni miezi 4 +miezi 2 ya uzalendo =6
Hiki ndio ninachokipendea JW yan hawana mbambamba...mnafungua mafunzo na tarehe ya kutoka mnaijua. PT sasa π€£No mkuu Msata walianza December 2021 wakamaliza June 2022, wa Oljoro walianza March 2022 wakamaliza September 2022 so ni miezi sita sita, huwa hawaanzi wala kumaliza pamoja
Kuna wana walichomoka course PT kwend kuliunga oljoroNo mkuu Msata walianza December 2021 wakamaliza June 2022, wa Oljoro walianza March 2022 wakamaliza September 2022 so ni miezi sita sita, huwa hawaanzi wala kumaliza pamoja
Sita si na uzalendoNo mkuu Msata walianza December 2021 wakamaliza June 2022, wa Oljoro walianza March 2022 wakamaliza September 2022 so ni miezi sita sita, huwa hawaanzi wala kumaliza pamoja
Mdada upo kitengo nini?Haujanielewa mkuu yani miaka mingi course ya awali ya RTS huwa ni miezi minne, Ila mwaka jana kwa mara ya kwanza wakafanya miezi sita, sasa sijui wataendelea hivyo miaka yote au ilikuwa ni kwa mwaka jana tu
Ni kama tu course ya officer cadet kule TMA Monduli, kuna intake huwa zinapiga mwaka mmoja, na kuna intake huwa zinapiga miezi tisa
Wanasema jeshi halikaririki muda wa course huwa unategemeana na uhitaji pamoja na bajeti
hahaaa mkuuWana shusheni lonja hapa, Nampambania sana Mdogo wangu azame chomboni vingi na vipata humu!!
Uzi mzuri sana in mfwende voice
Umesema wewe kamanda. Mimi nani nikupinge πwiki hili haliishi pasipo pdf kudondoka
Yesss no Doubt..... Lonja Kali sana.. hizi ni zandaaann.......wiki hili haliishi pasipo pdf kudondoka
Mzee wa" Uzi mkali sana huu " πYesss no Doubt..... Lonja Kali sana.. hizi ni zandaaann.......
Uzi mzuri sanaMzee wa" Uzi mkali sana huu " π
Uzi unatembeaLonja kaliii sana in mfwende accent