Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wapo ndio, mujibu wapo wengi tu,walujitolea pia wapo nina rafik angu naye ameomba tena uhamiaji na PT ni mererani tena wakujitolea wenzie wengi washakula ajira y
Sahihi kabisa unachokisema umekimbusha mbali mno tuliangusha miti si mchezo mzee..
 
Ila nilishangaa waliingia pamoja Msata na Oljolo lakini Msata walimaliza mapema ila wale wa Oljoro tarehe 30/10
Waliingia kwa kupishana kidogo baada ya msata vijana kuwa wengi wengine wakapunguziwa oljoro wakati oljoro wanasubiri kuongeza watu idadi yao itimie kule msata wakaanza kozi wale oljoro walikuja kuanza kozi mwezi wa 3 au 4 hivi jwa hyo wote walifanya kozi kwa miezi 6 isipokuwa muda wa kuanza kozi ndo ulipishana.
 
Sita si na uzalendo
Hapana mzee miezi sita yote ni ya kozi maana oljoro wako walikwenda toka December ambapo walishakaa uzalendo msata toka mwezi wa 10 ndipo wengine wakakatwa bogi kwenda oljoro napo wakakaa uzalendo paka kozi kuja kufunguliwa mwezi wa 3 na wakamaliza mwezi wa 9 mwishoni.
 
Mkuu umenifanya nicheke sana. Nimekumbuka wakati tunapiga darasa la silaha, watu tulikuwa tunapigwa mabanzi, fimbo na kumwagiwa maji ukisinzia. Nilijitahidi sana kujikaza lakini usingizi ulinizidi nikawa nasinzia tu. Unapigwa banzi la maana, ukishtuka humalizi hata dakika unasinzia tena
 
Tulikuwa tunabishana na wadau hapa kwamba mjeda asiye na cheo anaweza msalimia koplo wa police au nyota moja polisi, vile vile kwa vyombo vingine magereza, hii imekaaje wadau
Kweli, private wa jeshi anapaswa kumsalimia mwenye nyota polis, maana hiyo nyota huwa wanatunukiwa na rais kwahiyo lazima aheshimiwe
 
Hahahahhaha mwanangu nimejikuta nacheka, yaan kule usingizi hauishagi hata kidogo, mwamba mmoja kipindi cha mapumziko ya kwata ile tano, tukaenda kulala juani uwanjani, filimbi inapigwa jamaa anakoroma peke yake, maprivate wakaenda kumpiga maji ndoo ya kwanza mwamba bdo kalala
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aloo usingizi usikie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…