Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Zodwa..

Wewe ni afande hata kama ukibisha uo ndio ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ASP ampigie salute First Lieutenant wa JWTZ. Unapotosha hapa ndugu.
Kama upo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama basi haujafundishwa vyema. Kama haupo basi ukipata nafasi ya kuingia hata huku PT utafundishwa.

You are very right kuwa maofisa wa jeshi wanakuwa commissioned na Raisi kwa sababu hio ipo kisheria nadhan lakini haifanyi kuwa luteni usu apigiwe salute ASP au SP au SSP or even IP.

Vyeo katika majeshi yote ndan ya Tz vinashabihiana ingawa majina tu ndio yanatofautiana...JW mwenye cheo cha Major, PT ataitwa Superintendent of Police, UT ataitwa Superintendent of Immigration, MT ataitwa Superintendent of Prison...n so on...hawa wote basically wana cheo kimoja ila kwenye majeshi tofauti.

Conclusively; Kiutaratibu Askari yeyote kwa polisi kuanzia A/INS na JWTZ, kuanzia luten usu, kwenda juu wote wanapigiwa salute!!
Ila Nan wa kumpigia mwenzake wakikutana ni suala la cheo Nan anamzidi mwenzake no matter ni Askari wa jeshi gan.

Hivyo jwtz anaweza piga kwa MAGEREZA au polis kwa jwtz au vyovyote vile ila anayepigiwa ni mwenye cheo kikubwa zaidi.
 
Hilo la Magereza kamuulize Magufuli mkuu kwa nn aliamua kufanya vile na sasa hivi imerekebishwa.

Tusio na vyeo ndio unakuta tunabishana na tutaendelea kubishana tu ila wenyewe wakikutana hawanaga ubishi na wanasalimiana according to vyeo vyao. Hili naliona sana sana labda kama wanakosea
 
Sio kila kitu upo sahihi na hakuna aliye sahihi kwa kila kitu. Ila kwa uelewa zaidi wa kuelewa commissioned officers unaweza pitia vizuri pia PGO, hiyo PF &ASA na Tanzania National Defense Act.

Sheria imemfunga Raisi kutoa kamishen kwa maafisa wa jeshi la JWTZ so katika ratiba yake lazima tu atatafuta nafasi ya kwenda kutunuku kama atatakiwa kufanya hivyo.

Kwa majeshi yetu ya wizara ya mambo ya ndani haipo hivyo.

Lakini maafisa wanapokutana mimi huwa nashuhudia kuwa wanasalimiana kulingana na vyeo vyao.
 
Shukrani mkuu. Mimi ninavyowaona wakikutana naona wakipigiana salute kulingana na vyeo vyao ndio maana nimekuwa ninasema hivyo ila hayo masheria au reference ya vifungu honestly sijui
 
Haha eti kamuulize Magufuli daah sawa mkuu

Haya majeshi yana seniority lakini

Yani kumfananisha nyota tatu wa JWTZ na nyota tatu wa PT, UT, MT na ZT tunadanganyana asee
Hahaha sawa mkuu...ila wenyewe wakikutana hawanaga huu ubishi mkuu maana wanajua kuwa sio rahisi kuvipata walivyonavyo mabegani.

Huwa wanasema kama unaona ni rahisi kuipata nyota basi ifate kaichukue angani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Tupe lonja za UT kwanza mkuu. Pdf inatoka lini ? Hizi habari za salute tuziache
 
Si hata tukiishia uconstable fuleshh tu
 
Haha mambo ya ndani sina lonja na wala sijaomba mkuu, hata mimi huwa nawasoma tu nyie humu, na mengine tunaelimishana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…