Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Samahani mkuu naomba maelezo vizuri wa hiki kiwanda kipo temeke sehemu gan,watu wanaingia saa ngap na kutoka muda gani na je ukiingia mzigoni kuna nguo zao za safety wanakupa unavaa au unavaa nguo zako?Nisaidie kwa hayo kaka
Mkuu kama upo maeneo ya dar ni tazara pale ukifika tu pale sio mbali hata ukiuliza wanakuelekeza, kuhusu nguo zipo mkuu za kujikinga inategemea na sehemu gani utapangiwa, ni kuqnziq asubuhi mkuu saa moja hv, japo kama kutakuwa na utaratibu mwingine
 
Ndio maana wanaangalia sana uvungu ili miguu isije kuoza kwa kukosa kupumua
Siyo kweli ulichokiandika wewe. Hata ukiwa na uvungu unyayo wa miguu lazima utaharibika tu. Sababu ya kutaka miguu yenye uvungu ni kuwa kwenye miguu ulipo uvungu kuna mishipa ambayo mtu asiyekuwa na uvungu wakati wa kwata huwa wanaumia sana.

Utakuwa unaelewa kama ulipita jkt, ile kitu inaitwa FUNGA FUNGUA, wakati tunaanza kwata.
 
Mm naomba nielekezwe kiwanda cha nondo temeke kipo sehemu gani nataka kwenda kesho maana huku kwenye majeshi naona nuksi tupu OP Kikwete lakini mpka leo hakuna ajira nimeomba sana hizi nafasi mpka sasa hvi nimekata tamaa kabisa yani bora niende huko kwenye kiwanda cha nondo nikatafute mtaji hata mdogo tu nijiajiri mwenyewe.Nawatakia wote mafanikio mema wapambanaji wenzangu.Asanteni
 
Sawa mkuu ila ilikuwa ni uelewa wangu tu mkuu kumbe sababu zipo nyingi tu
 
Daaaah asee kaka mungu yupo tunaopambana asee kama riziki ipo, ipo tu mkuu mungu ndio kila kitu asee
 
Usikate tamaaa mkuuu
 
Sawa Afande ila DM NARUHUSIWA kuja
 
Hii ya traffic police kuwaacha wanajeshi wanaovunja Sheria barabarani Haina uhusiano wowote na "chain of command"
 
Rais ni amiri jeshi mkuu hivyo amri yake ni sheria hasa kwenye haya majeshi ambapo kila kitu ni amri, angeweza kumfanya hata IGP kuwa CDF kama kweli angekuwa hafuati utaratibu, lakini mbona hakufanya hivo
Sasa kutofanya haimaanishi hawezi, mbona sioni point yako hapa
 
Mbona huyu CDF wa sasa alipandishwa kutoka Major General na kua General (CDF) Moja kwa Moja??? Kama imewezekana kwa JW Major General kupanda na kua CDF moja kwa moja, kwann ishindikane kwa magereza? the problem is you're too biased to police army and that clouds your judgement
 
Asee Kuna koplo Bonita (Haji au Baba Samir) cjui yukogo wapi yule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…