Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Samahani mkuu naomba maelezo vizuri wa hiki kiwanda kipo temeke sehemu gan,watu wanaingia saa ngap na kutoka muda gani na je ukiingia mzigoni kuna nguo zao za safety wanakupa unavaa au unavaa nguo zako?Nisaidie kwa hayo kaka
Mkuu kama upo maeneo ya dar ni tazara pale ukifika tu pale sio mbali hata ukiuliza wanakuelekeza, kuhusu nguo zipo mkuu za kujikinga inategemea na sehemu gani utapangiwa, ni kuqnziq asubuhi mkuu saa moja hv, japo kama kutakuwa na utaratibu mwingine
 
Ndio maana wanaangalia sana uvungu ili miguu isije kuoza kwa kukosa kupumua
Siyo kweli ulichokiandika wewe. Hata ukiwa na uvungu unyayo wa miguu lazima utaharibika tu. Sababu ya kutaka miguu yenye uvungu ni kuwa kwenye miguu ulipo uvungu kuna mishipa ambayo mtu asiyekuwa na uvungu wakati wa kwata huwa wanaumia sana.

Utakuwa unaelewa kama ulipita jkt, ile kitu inaitwa FUNGA FUNGUA, wakati tunaanza kwata.
 
Mm naomba nielekezwe kiwanda cha nondo temeke kipo sehemu gani nataka kwenda kesho maana huku kwenye majeshi naona nuksi tupu OP Kikwete lakini mpka leo hakuna ajira nimeomba sana hizi nafasi mpka sasa hvi nimekata tamaa kabisa yani bora niende huko kwenye kiwanda cha nondo nikatafute mtaji hata mdogo tu nijiajiri mwenyewe.Nawatakia wote mafanikio mema wapambanaji wenzangu.Asanteni
 
Sawa mkuu ila ilikuwa ni uelewa wangu tu mkuu kumbe sababu zipo nyingi tu
 
Mm naomba nielekezwe kiwanda cha nondo temeke kipo sehemu gani nataka kwenda kesho maana huku kwenye majeshi naona nuksi tupu OP Kikwete lakini mpka leo hakuna ajira nimeomba sana hizi nafasi mpka sasa hvi nimekata tamaa kabisa yani bora niende huko kwenye kiwanda cha nondo nikatafute mtaji hata mdogo tu nijiajiri mwenyewe.Nawatakia wote mafanikio mema wapambanaji wenzangu.Asanteni
Daaaah asee kaka mungu yupo tunaopambana asee kama riziki ipo, ipo tu mkuu mungu ndio kila kitu asee
 
Mm naomba nielekezwe kiwanda cha nondo temeke kipo sehemu gani nataka kwenda kesho maana huku kwenye majeshi naona nuksi tupu OP Kikwete lakini mpka leo hakuna ajira nimeomba sana hizi nafasi mpka sasa hvi nimekata tamaa kabisa yani bora niende huko kwenye kiwanda cha nondo nikatafute mtaji hata mdogo tu nijiajiri mwenyewe.Nawatakia wote mafanikio mema wapambanaji wenzangu.Asanteni
Usikate tamaaa mkuuu
 
Haha mimi siyo afande mkuu

Yeah nafahamu CGF Masunga alitoka Magereza akaenda Zimamoto, ndio maana nikasema mambo ya ndani wote vyeo vyao viko sawa, na ndio maana hata majina ya vyeo vyao yanafananafanana

Nilichokataa mimi ni kufananisha JWTZ na PT, UT, MT na ZT, maana kwanza wako chini ya wizara mbili tofauti, na JWTZ ndio jeshi senior kisha hao wanaofuata wote wako sawa
Sawa Afande ila DM NARUHUSIWA kuja
 
Rais atakosa kote ila hajawahi kukosa Monduli mkuu hata akibanwa na ratiba mahafali yatasubiri hadi awe free aende kwenye mahafali

Kiprotocol nyota moja ya JWTZ si sawa na nyota moja ya polisi, hivi unafahamu mwanajeshi kuanzia nyota moja akitenda kosa uraiani, anatakiwa akamatwe na polisi kuanzia cheo gani

Na je hujiulizi kwanini traffic police huwa hawawazingui wanajeshi wanaovunja sheria barabarani wanawaacha tu
Hii ya traffic police kuwaacha wanajeshi wanaovunja Sheria barabarani Haina uhusiano wowote na "chain of command"
 
Rais ni amiri jeshi mkuu hivyo amri yake ni sheria hasa kwenye haya majeshi ambapo kila kitu ni amri, angeweza kumfanya hata IGP kuwa CDF kama kweli angekuwa hafuati utaratibu, lakini mbona hakufanya hivo
Sasa kutofanya haimaanishi hawezi, mbona sioni point yako hapa
 
Mkuu mbona umeconclude kana kwamba nimesema ASP ndio atapiga salute kwa Lt. II, soma vizuri ile para yangu nimesema mapolisi mje mtuambie kati ya hao nani atapiga salute kwa mwenzake

Okay kwahiyo mkuu unataka kusema kwamba Captain ni sawa na ASP, au kwamba Major General wa JWTZ ni sawa na DCP wa Polisi, au DCP wa Magereza, au DCI wa Uhamiaji, au DCF wa Zimamoto si ndio

Sasa mbona Magereza wamewahi kuwa na CGP mwanajeshi, na tena mwenye cheo cha Major General, hiyo imekaaje
Mbona huyu CDF wa sasa alipandishwa kutoka Major General na kua General (CDF) Moja kwa Moja??? Kama imewezekana kwa JW Major General kupanda na kua CDF moja kwa moja, kwann ishindikane kwa magereza? the problem is you're too biased to police army and that clouds your judgement
 
Afande veno.. ruti embakasi, magagula fatiki ya kuzima moto. 😆😆
Kwata lina pigwa usiku huku iveco imewashwa taa full

Prv Milito na somo la Uvumilivu
Prv Asa Mwite huyo Mungu wako aje akuokoeee😂😂😂😂😂
Prv pilato mzee wa kupima joto la ardhii
Prv manyama anakwambia iyo rutmach mtatembea mpaka pumbu zipasuke😅😅😅
Alafu kulikuwa na prv 1 iv anakwambia kuruti mnataka pima uzito wa pumbu zangu mjue zina gram ngapi tuonane baadae..
Mlale kikosi kazi big upcomrd..
Asee Kuna koplo Bonita (Haji au Baba Samir) cjui yukogo wapi yule 😂😂😂
 
Back
Top Bottom