Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sasa 27 kwa mwenye elimu ya juu si Bado Apo mkuu
 
Sasa 27 kwa mwenye elimu ya juu si Bado Apo mkuu
Mzee wake aligoma kumsaidia jamaaa alimuambia yeye mzeee .....wazeee Wana tofautiana wazee wengine watu wa kupiganisha hata Kama umri umesogea ata piganisha hata kwa kuvunja umbo , yeye mzeee alimtolea nje kabisa kuwa age imeenda mujibu aliwahi pita enzi za form six
 
27 still bado yupo kwenye range kwenye majeshi mengi tu sema tu alimkqzia.
 
Uko sahihi sana 100%
 
Sure, sema basi tu mambo ya ndani wameamua kutunisha misuli bila sababu, ila mkubwa ni mkubwa tu
Mi naona ni mgawanyo wa majukumu tu,kila mtu ni senior kwake,kulingana na katiba.
 
Mkuu usaili wa intake iliyopita UT walikuja na aptitude test?
 
27 still bado yupo kwenye range kwenye majeshi mengi tu sema tu alimkqzia.
Yes mshua alikaza hata 28-29 Kama mbuyu upo umri mzur wahuni wengine age imegooo kabisa bas Afande hakutaka ku push Hilo swala.
 
JW ni tofauti na PT hata mchakato wa kuajiri JW uwa hawatangazi lkn PT Wanatangaza kingine JW kamisheni Ofisa wao lazima wavishwe nyota na raisi yani iyo ni lazima hatumi muwakilishi...
 
Mkuu hata kama anaweza ila Jeshi siyo Bashiru wala Assad, afanye hivyo aone reaction yake, yani hapa suala siyo anaweza au hawezi suala ni akifanya hivyo Matokeo yake nini ajaribu tu
Hivi Diwani Athumani aliyekua DG wa TISS,alikua ahusiki na JW,au JW wao wana usalama wao na mkuu wao wa usalama?
 
Dah ! JWTZ wasitufanyie ukatili wazalendo wa kitaa bana waturushie taulo tuingie humo kama majeshi mengine wanavyofanya ,waache mambo ya ajabu
Labda watake watu wa fani mkuu lkn hv hv madogo wamejaa kambi za jkt kibao
 
Labda Kama hataki t aingie hukom.ila kwa wenye bachelor majeshi yote yanachkua Hadi 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…