mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
tuishi humooUnyama Sana,mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuishi humooUnyama Sana,mkuu
Idadi iliyotakiwa ilichukuliwaSaw man na vp mwakajan Kwa upande Wa h fani watu walitoboa weng au mchujo ulitembea na weng
Sasa 27 kwa mwenye elimu ya juu si Bado Apo mkuuSure kukata tamaaa dhambi Sana mkuuu ....Wana walipiga mujibu wa sheria wakasoma chuo wakarudi kujitolea Kuna op ilitimua wote wenye elimu ya juuu Wana wakarudi home , wote watoto wa wakubwa wastaafu vyombo mifumo inazngua Wana wamepambana moja amekata tamaaa na mwambia always mfwende hiz Mambo swala majira ya Mungu tu yakifika. Hakuna wa kuzia Kuna mwana mzee wake Gen ana mkazia mshikaj ana mwambia aje imeenda ngumu kuzama mwana alikuwa na 27 mshua alisema mwamb age imesogea acheki Mambo mengine yakufanya hiz Mambo Mungu anajua hatima ya mtu iko wapi
Mzee wake aligoma kumsaidia jamaaa alimuambia yeye mzeee .....wazeee Wana tofautiana wazee wengine watu wa kupiganisha hata Kama umri umesogea ata piganisha hata kwa kuvunja umbo , yeye mzeee alimtolea nje kabisa kuwa age imeenda mujibu aliwahi pita enzi za form sixSasa 27 kwa mwenye elimu ya juu si Bado Apo mkuu
27 still bado yupo kwenye range kwenye majeshi mengi tu sema tu alimkqzia.Mzee wake aligoma kumsaidia jamaaa alimuambia yeye mzeee .....wazeee Wana tofautiana wazee wengine watu wa kupiganisha hata Kama umri umesogea ata piganisha hata kwa kuvunja umbo , yeye mzeee alimtolea nje kabisa kuwa age imeenda mujibu aliwahi pita enzi za form six
Uko sahihi sana 100%Kiongozi kiuhalisia nyota moja ya JWTZ si sawa na nyota moja ya Polisi na wenzao wote wa mambo ya ndani, kule Monduli maluteni usu kila mwaka huwa wanaapishwa na President tu, na hajawahi tuma mwakilishi 'kwa niaba yake' ni lazima aende yeye mwenyewe
JWTZ hakuna gazetted officers wote kuanzia Luteni usu hadi Generali huitwa commissioned officers
Anyway labda mapolisi wa humu ndani watuambie hapo kwenye masuala ya protocol, kwamba kwa mfano Luteni usu (nyota moja wa jwtz) na ASP (nyota tatu wa polisi) wakikutana, nani ataanza kudondosha Salute kwa mwenzake
Wapo wanaosema hayo ni majeshi tofauti yenye mifumo tofauti, hivyo haina haja ya kupigiana salute, labda wao wenyewe wa mambo ya ndani ndio vyeo vyao viko sawa ila siyo kwa JWTZ
Lakini as far as i know ni kuwa JWTZ ndio jeshi senior na superior kiprotocol, ndio maana hata kwenye mikutano ya viongozi mfano ikulu au bungeni mpangilio wao wa kukaa mara nyingi huwa anaanza CDF, IGP, DGIS, CGP, CGF then CGI, halafu ndio wanafuata hao wa PCCB na DCEA
Hata kipindi cha Magufuli alitaka aanzishe system ya kuteua general officers wa JWTZ kuwa wakuu wa vyombo vya usalama vya mambo ya ndani, mfano alimteua Suleiman Mzee kuwa CGP Magereza ambaye alikuwa ni Major General cheo cha tatu kutoka juu, na tena hiyo ilihesabika ni kama demotion
Wakati kwa magereza cheo cha tatu kutoka juu ni DCP, so maana yake ni kwamba, Major General wa JWTZ na DCP wa Magereza kiprotocol hawako sawa MG ni mkubwa
Mi naona ni mgawanyo wa majukumu tu,kila mtu ni senior kwake,kulingana na katiba.Sure, sema basi tu mambo ya ndani wameamua kutunisha misuli bila sababu, ila mkubwa ni mkubwa tu
Mkuu usaili wa intake iliyopita UT walikuja na aptitude test?Hzo link za juu,uhamiaji walitoa aptitude test kupitia maswali hayo,simple questions& math . civics ikukae kichwani ,immigration act& client service charter ikukae kichwani, na current issues zote nawasilisha. kwa mliofanya usaili mwaka jana mtuambie pia
Yes mshua alikaza hata 28-29 Kama mbuyu upo umri mzur wahuni wengine age imegooo kabisa bas Afande hakutaka ku push Hilo swala.27 still bado yupo kwenye range kwenye majeshi mengi tu sema tu alimkqzia.
JW ni tofauti na PT hata mchakato wa kuajiri JW uwa hawatangazi lkn PT Wanatangaza kingine JW kamisheni Ofisa wao lazima wavishwe nyota na raisi yani iyo ni lazima hatumi muwakilishi...Raisi kutokuwepo kwenye mafunzo ya nyota moja haimaanishi kuwa basi hawacommission wote. So kwa kuwa Raisi alienda kwenye mahafali ya askari wa uhamiaji na hakwenda CCP basi askari wa uhamiaji wana hadhi kubwa kuliko wengine? Uwepo wa Raisi sehemu fulani huwa determined na ratiba yake ambayo huwa inapangwa mapema kabisa tangu mwaka unaanza unless yeye mwenyewe ndio avunje.
Nyota moja ya polisi kicheo ina hadhi sawa kabisa na nyota moja ya JWTZ. Haiwezi kuondolewa bila Raisi kuridhia.
Mtafute polisi yoyote hata hawa tu waliotoka juzi tu ccp anayejielewa akufundishe kuhusu " salutation" maana wanafundishwa vizur tu.
Am open for any correction.
Sawa mkuu. Huu mjadala tumeshaufunga. Tupe lonja za PT, UT, JW nkJW ni tofauti na PT hata mchakato wa kuajiri JW uwa hawatangazi lkn PT Wanatangaza kingine JW kamisheni Ofisa wao lazima wavishwe nyota na raisi yani iyo ni lazima hatumi muwakilishi...
Hivi Diwani Athumani aliyekua DG wa TISS,alikua ahusiki na JW,au JW wao wana usalama wao na mkuu wao wa usalama?Mkuu hata kama anaweza ila Jeshi siyo Bashiru wala Assad, afanye hivyo aone reaction yake, yani hapa suala siyo anaweza au hawezi suala ni akifanya hivyo Matokeo yake nini ajaribu tu
27 hata kama bado ana elimu ya 4m 4 bado yupo kwenye game ya majeshi sema mzee alizingua tu27 still bado yupo kwenye range kwenye majeshi mengi tu sema tu alimkqzia.
Labda watake watu wa fani mkuu lkn hv hv madogo wamejaa kambi za jkt kibaoDah ! JWTZ wasitufanyie ukatili wazalendo wa kitaa bana waturushie taulo tuingie humo kama majeshi mengine wanavyofanya ,waache mambo ya ajabu
Lonja kaliHyo Ni PT wakuu
Labda Kama hataki t aingie hukom.ila kwa wenye bachelor majeshi yote yanachkua Hadi 30Mzee wake aligoma kumsaidia jamaaa alimuambia yeye mzeee .....wazeee Wana tofautiana wazee wengine watu wa kupiganisha hata Kama umri umesogea ata piganisha hata kwa kuvunja umbo , yeye mzeee alimtolea nje kabisa kuwa age imeenda mujibu aliwahi pita enzi za form six
Lyoba na huku upo?Dondosheni lonja.