Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna watu wa thietrical art and performance wanatakiwa msela angu anayo hiyo cozi alifelj mwaka Jana ametest mwaka hu Tena asubiri.
 
Ninao wajua wameomba education mimi kama mimi wapo sita nisiyowajua wapo wangapi?
Education watu ni wengi Sana mtaani..walimu ni wako wengi aisee..awamu iliyopita kutoajiri walimu kwa miaka yote ile mi tano ndo kulijaza walimu mtaani Sana..fkiria kwa mwaka Wana graduate walimu mpaka 30000..then ajira zikawa hazitoki miaka mitano,..hata ukiangalia kwenye ajira za walimu wanaomba watu mpaka laki 1 kwa sasa
 
Sema hii nchi ngumu sana
 
Education msiba ...mwana alienda mujibu akapata chance akazingua akataka kusoma kwanza degree amemaliza kasota ajari za walimu Hakuna kupata , muda ajir za majeshi amepambana nazo hakuna kitu awamu hiii ameomba tena anaskilzia upepo ana regrate six alipozingua wakat Nika mwambia ungerud kujitolea Hiko kitu haraka kuskia ana komaa na Chet Cha mujibu Mungu nae amkumbuke msela
 
Sema hii nchi ngumu san
Dah acha t mwanngu..ukiangalia age nayo inazidi kukimbia,inazidi pagawa..lyf la bongo uspokua na stamala unadata fresh kabisa unaokota kopo
 
Degrii ya Sanaa hiyo. Polisi waliorodhesha vijana waombe. Kuna mwanangu anayo but hakufanikiwa mwaka Jana. Na mwaka huu pia imekuja kaomba Tena but kwasasa katoboa mkatab.
Yaitwa performing arts kweny kiambatisho
Kuna baadhi ya fani watachukuliwa ushindani hautakuwa mkubwa hasa levels za chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…