Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

UNanikumbusha alipokamatwa Yesu, Petro aliulizwa wewe ni mmoja wao? Alikana sana, wakamwambia hata kuongea kwako unafanana na Yesu[emoji28][emoji28][emoji28]
Asomaye na ajue
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu mimi ni raia tu
Wala sipo huko
 
Hao wa mambo ya ndani wanapenda sana kujitutumua
 
Amini mwanngu
.wakati wa Mungu ndo wakati,
Dua tu
,sku inakuja.
 
Hao wa mambo ya ndani wanapenda sana kujitutumua
Usiseme hivo mkuu, mimi maona JW ndio wanapenda kujitutumua ingawa nawakubali sana.

Hadi ka private ka Jw kanataka kaonekane kakubwa kwa Cpl wa polisi. Ki uhalisia naona PT kwanza inatakiwa hata maslahi yao yawe kama Jw, hebu fikiria mtu kozi miezi 12, adili na mambo yote ya kiraia na bado kikinuka baina ya nchi na nchi anatakiwa aende kupambana!!!

Mission unazozijua Jw wapo PT nao pia huchaguliwa kwenda!
 
Kwenye hzi mambo wakubwa huwa hawakosi nafasi zao kuanzia 2 na kuendelea, hizi ni maalumu kwa ajili ya heshima yao, huko kote kuanzia pt, ut, tiss, zt, mt, jw, n.k, kuna watu najua tupo nao humu na uhakika wanao, hv mnaonaje kuchukua hata wadau wawili wawili ili tuweze kutoka kitaa, na kusaidia wengine,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…