MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Mimi hapa kiongoziNani humu alitaka nafasi ya kufundisha Physics nimpe mchongo atume maombi
Mungu hatuwazii mabaya au kutupangia mabaya ndugu yangu. No one is destined kuwa fukara. Ukiamini kuwa utakuw fukara na haustahili kupiga hatua trust me utaendelea kuwa hivyo hivyo coz u will only attract negativity in your life. Kuwa na imagine, pray n let him open the doors for u. U never Mungu anaweza kukuinua wewe and become a rising star to save ur family..Never lose hope.Kweli aise, afu kuna wengine mungu kaamuaga wasipate kabisa, yaan hata ahustle vipi, anapata kidogo hakimtishi(ufukara).
Kwahyo tule mtori nyama zipo chini, wale machei chei kama mimi nishajipa 85 za kukosa hizi nafasi
Cheichei na shangazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli aise, afu kuna wengine mungu kaamuaga wasipate kabisa, yaan hata ahustle vipi, anapata kidogo hakimtishi(ufukara).
Kwahyo tule mtori nyama zipo chini, wale machei chei kama mimi nishajipa 85 za kukosa hizi nafasi
Mkuu kuna siri gani hapo kati katiMe nimejifunzaga Sana toka mwaka jana/juzi.maisha yana Siri kubwa Sana me nimeshuhudia watu waliokuwa wanaishi bad Life sahivi wanapesa na still ni vijana Bado
Hatari boss, ingawa sikuwa kundi la macheichei.Cheichei na shangazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye maombi ya ajira yeyote ukitumia degree, diploma ,au certificate lazima na academic transcript iwepoKumbe PT mliambiwa mtume na transcript kabisa?
Hapana mkuu wangeiweka kama ni kitu necessary boss na ndio maana hawatak watu wakitumie hicho pekee kuombea maombi. Transcript utatakiwa kuipeleka huko mbeleni lakin hakukuwa na ulazima wakati wa kusubmit maombi.Kwenye maombi ya ajira yeyote ukitumia degree, diploma ,au certificate lazima na academic transcript iwepo
Hilo mbona nimeshakujibu kwamba rais hawezi kufanya hivyo sababu hata yeye anajua fika kuwa JWTZ wanaweza kuongoza PT,
Na walioweka transcrpt tu kwa sababu wamemalz chuo mwaka jana na hawajapata vyet jeHapana mkuu wangeiweka kama ni kitu necessary boss na ndio maana hawatak watu wakitumie hicho pekee kuombea maombi. Transcript utatakiwa kuipeleka huko mbeleni lakin hakukuwa na ulazima wakati wa kusubmit maombi.
Tangazo lipo clear cheti ndio kinatakiwaNa walioweka transcrpt tu kwa sababu wamemalz chuo mwaka jana na hawajapata vyet je
Hukanielewa mkuu namaanisha hivi vitu vinakuwa kwa pamoja ( gamba + transcript)Hapana mkuu wangeiweka kama ni kitu necessary boss na ndio maana hawatak watu wakitumie hicho pekee kuombea maombi. Transcript utatakiwa kuipeleka huko mbeleni lakin hakukuwa na ulazima wakati wa kusubmit maombi.
Utaomba zitakazokuja mbeleni. Kwa sasa waachie wenye vyeti wahusike nazo. Bado za PCCB on the way.Na walioweka transcrpt tu kwa sababu wamemalz chuo mwaka jana na hawajapata vyetu je
Eti nishajipa 85 za kukosa,haahah, never lose hope mkuuKweli aise, afu kuna wengine mungu kaamuaga wasipate kabisa, yaan hata ahustle vipi, anapata kidogo hakimtishi(ufukara).
Kwahyo tule mtori nyama zipo chini, wale machei chei kama mimi nishajipa 85 za kukosa hizi nafasi
Nimeshaomba acha nisubir kukatwa tuUtaomba zitakazokuja mbeleni. Kwa sasa waachie wenye vyeti wahusike nazo. Bado za PCCB on the way.
Kikubwa ni Nia na moyo wa mapambano kuweka aibu na ubishoo pembeni.maisha yanahitaji concentration ya utafutaji na bidii,kumake ili yakuitikie.[emoji3578]Mkuu kuna siri gani hapo kati kati
Kweli mkuu nikajua kuna ndumba hapo mpaka kutoboaKikubwa ni Nia na moyo wa mapambano kuweka aibu na ubishoo pembeni.maisha yanahitaji concentration ya utafutaji na bidii,kumake ili yakuitikie.[emoji3578]
Huku ukiendelea kuunguza pesa za kutosha kabisa.Forex.........niendelee kujifunza na kuwa guru