Mianzin Arusha
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 132
- 139
Hv na waliomba mara mbili ametumia cha form 4 then akatumia cha degree inakuaje?Polisi kwa waliomba kwa level ya form 4 watavimba Sana mnachukuliwa wengi kama kumbikumbi
Kama ulitumia cheti cha form 6 kuomba pt imekula kwako
Sasa hapo mbona utawachanganya Sasa....unaombaje Mara mbili kwenye nafac moja kwa kutumia level za elimu mbiliHv na waliomba mara mbili ametumia cha form 4 then akatumia cha degree inakuaje?
Form six nao wanachaguliwa Kama kawaida....I mean waliotumia vyeti vya form six hawapati hzo nafasi siamini katika hlo
No longer at easy.Forex.........niendelee kujifunza na kuwa guru
Na wale tumeomba na cha 4 na tuna one na two , hatutakatwa kweli?Polisi kwa waliomba kwa level ya form 4 watavimba Sana mnachukuliwa wengi kama kumbikumbi
Kama ulitumia cheti cha form 6 kuomba pt imekula kwako
Kuna jamaa yangu mmoja hivi alinisimulia kuwa alipofika CCp wakati wa ukaguzi wa vyeti akakutwa ana Div 1 kali tu na aliingia kwa level ya form 4 ingawa ana diploma ingawa yeye alitokea jkt kujitolea. So inawezekana as long as kwenye usaili wakikuona una potentialNa wale tumeomba na cha 4 na tuna one na two , hatutakatwa kweli?
Kuna ambao watapita tuI mean waliotumia vyeti vya form six hawapati hzo nafasi siamini katika hlo
Tupe lonja kiongozi. Nyie new members mnakuwaga watu muhimu sana.Utaomba zitakazokuja mbeleni. Kwa sasa waachie wenye vyeti wahusike nazo. Bado za PCCB on the way.
Hatari kaka. Tuendelee kusubiri tu.Bdo pdf bila bila
It has already being compiled. It is just a matter of them to release it on public any timeBdo pdf bila bila
yaahHatari kaka. Tuendelee kusubiri tu.
Noted mkuuIt has already being compiled. It is just a matter of them to release it on public any time
Sasa si wametaka form 4 wanakukata vipi ? Hata uwe na division 1 unapitaNa wale tumeomba na cha 4 na tuna one na two , hatutakatwa kweli?
Kwenye maombi hawajataja form six mtu unaenda tumia cheti cha form six kuomba
mkuu formula ya kupata kazi bongo haieleweki, umewahi kujiuliza ww unaye attach vyeti stahiki uko kwenye system??Kwenye maombi hawajataja form six mtu unaenda tumia cheti cha form six kuomba
Baadae watu wanajipa moyo tutapita tu mnajua hao waliopita wanapitaje ?
Ngoja muende huko mkoani kwenye usaili utakuja kuniambia
Watu wanajiponza wenyewe
Mm Nina rafik zangu wawil intake iliyopita waliomba kwa form six na walipita wote na washakua polisi tayar Sasa unavoniambia hawapiti sikuelewi mkuuKwenye maombi hawajataja form six mtu unaenda tumia cheti cha form six kuomba
Baadae watu wanajipa moyo tutapita tu mnajua hao waliopita wanapitaje ? Mliwaona au ndio zile story
Ngoja muende huko mkoani kwenye usaili utakuja kuniambia
Watu wanajiponza wenyewe