Daah ndugu yangu me pia ninaye mtu wa hivyo tena Siyo wa ku connectiwa na mtu bali namjua alipita kimchongo kwani alikuwa na jakata lkn vigezo vingine kama umri ulimtupa ajabu ametoka kozi tayari anakula maisha nikimwambia kuhusu iyo anakataa anakwambia juhud zangu tu yani ikafika time hata meseji zangu hajibu,nikaona kama najichoresha nimekaa zangu kimya na kabla hajatoka alikuwa mwana Sana ila kaniacha kitaa sahiv hana anachokujibu hata lonja akupi sijawahi kusema nimemuomba hela shida ni kutaka aniunganishe na mbanga wake yule.Nimejifunza kitu hapa duniani wakunyenyekewa ni mungu tu ,binadamu anaombwa msaada na siyo kunyenyekewa.[emoji3578]