Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Lonja za jw unaweza zipata ila kama upo uraiani na hauna mbanga wenye nguvu kuuubwa aisee ni ngumu kama ngamia kupenya katka sindano, nasema hivyo sababu huyu CDF aliyeingia ni balaa kinoma yani jamaa yupo straight yani ukijichanganya umeliwa.

Mwaka jana vikosini vijana walifanya usahili op mbili i mean makao na samia tena samia wakiwa bado ni kuruti enzi za Mabeyo ila alivyoingia mwamba sasa hivi niongeapo hapa ni kuwa jamaa kaamua kurudisha utaratibu wa kitambo yani subiri mwenzako aondoke ndo na wewe utafata yani samia wanafanya usahili af madogo op mabeyo wamepigwa pending kwanza
vp mbanga level ya brigedia inatoboa
 
Chief hii kada ukipata shule nzuri hotujutia kwann uliisoma..kuna walimu wanakunja mpunga mzuri sana per month na wanapewa hadi house allowance
Tupo wengii mnoo mkuu tatizo masikini tumesoma hii kada kaka na wote tupo tunagangaa njaa tuu wazazi wanatutegemea kuwa ipo siku walau tutakuwa msaada kwao lakini siyo mchezo kaka huu mwaka wa Saba mtaani hali mbaya na huku polisi nikujabahatisha maana Mungu ndo anajua kila kesho ya mwanadamu
 
Usiache pia kuaapply kuna NGO's nyingi huwa wanataka walimu hususani wa sayansi na masuala ya jamii...
Maslahi yao nadhani unajua haina haja ya kuongelea sana
 
Kuna demu amesoma na jamaa yangu O level mwaka jana alitoboa UT, jamaa kaniconnect nae , naona ananata sana , nimemuuliza baadhi ya mambo.

Akajibu kimtindo kuwa hakuna kitu alitoa , alipita tu free.

Sasa sijui ananikataa kiaina.
Daah ndugu yangu me pia ninaye mtu wa hivyo tena Siyo wa ku connectiwa na mtu bali namjua alipita kimchongo kwani alikuwa na jakata lkn vigezo vingine kama umri ulimtupa ajabu ametoka kozi tayari anakula maisha nikimwambia kuhusu iyo anakataa anakwambia juhud zangu tu yani ikafika time hata meseji zangu hajibu,nikaona kama najichoresha nimekaa zangu kimya na kabla hajatoka alikuwa mwana Sana ila kaniacha kitaa sahiv hana anachokujibu hata lonja akupi sijawahi kusema nimemuomba hela shida ni kutaka aniunganishe na mbanga wake yule.Nimejifunza kitu hapa duniani wakunyenyekewa ni mungu tu ,binadamu anaombwa msaada na siyo kunyenyekewa.[emoji3578]
 
Umejifunza vyema
 
Ni ulimbukeni unasumbua vijana
Wakiamini tulio mtaa hatuwez toboa.
Kumbe shedi bado hawajazimaliza.
Shida huwa haziishi.

Mtu kumsaidia sio lazima uplay part kubwa , unaweza toa hata mawazo tu inatosha.
Sasa unammute mtu , kumbe hujui utakwama wapi na huenda jamaa utamuhitaji kwa baadae.
 
Nina demu wangu baba ake mdogo msemaji mkuu wa chombo x ,ananishangaza Sana nikimwambia afight tupate nafasi majibu yake eti hajamzoea namuogopa baba ndio kaongea naye mdogo wake kaniambia tuma tu maombi.hata kuiba lonja hajui ananiuliza mie eti majina lini anakera me naona connection yakutoboa ile pale kuna kipindi nikamjambisha kumuacha na ikawa simpatilizi lkn aligundua alikuja na madai kwamba yeye hajamzoea pia kumuona yeye ni mara chache chache Sana mara anakwambia baba ake amekutana na baba ake mdgo.kiufup sijui kama ananibania au ni kweli
Mzeeee unafeli sana kwa kifupi unamuonea bure uyo binti.
 
Tupo wengii mnoo mkuu tatizo masikini tumesoma hii kada kaka na wote tupo tunagangaa njaa tuu wazazi wanatutegemea kuwa ipo siku walau tutakuwa msaada kwao lakini siyo mchezo kaka huu mwaka wa Saba mtaani hali mbaya na huku polisi nikujabahatisha maana Mungu ndo anajua kila kesho ya mwanadamu
Mwaka wa Saba ndugu??😂😂😂 Mbona umri wa kuomba hizi nafasi kama umekupita sasa au ndo tunasukuma mlango ulioandikwa vuta, amini inafunguka
 
Namuonea kvp mkuu.nimesema Siri anajua yeye me sijamnyenyekea tena ndio mana nikatoa maelezo ya reason zake tunachat kawaida tu so Mambo ya ut wala PT
Kiufupi tusijenge chuki na watu wa dizaini hii jmn mtu unaweza kuwa chomboni Tena mkubwa lkn still akawa ni msoma magazeti tu Kwa office lkn it's suprise mtu akawa hana cheo chochote au link yake ya chiini kabisa ila ndo akawa msaada mkubwa yaani kumsaidia mtu inataka maana inasemekana ikitokea ajira inaundwa kamati itakayoshughulikia mwanzo mpka mwisho sasa watu wa kudili nao ni wale wa kwenye kamati
 
Na inasemekana mtu anaweza mpa mtu jina lako lkn mwisho wa siku anamwambia mkuu nimeshindwa
 
Back
Top Bottom