Apo pamoto Sana watu wataliwa vichwaPagumu mzee...ukitoboa hapo kati ya maombi 30k+ ni mwamba
SikupingiNa inasemekana mtu anaweza mpa mtu jina lako lkn mwisho wa siku anamwambia mkuu nimeshindwa
Mkuu hata ungekuwa ww unakiona chombo kipo hapo na umekielewa utashindwa kukiomba utelezi mkuu? Hata madaktari na manesi mahospitalin huko wanaombana..sembuse makamanda πππSawa lakini si ni ile ya kuombana kiutu uzima tu siyo ile ambayo mwanamke akikataa anaanza kufanyiwa figisu kwenye kazi yake
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Hizo figisu labda awe mtu binafsi na chuki zake ndio akufanyie hivyo. Otherwise dunia ipo tofauti kabisa saiv, unaweza mfanyia figisu hizo mtu , afu takukuru wakakunyooshq au mamlaka za juu yako zikakunyoosha maana kuna madawati ya kushughulikia mambo kama hayoSawa lakini si ni ile ya kuombana kiutu uzima tu siyo ile ambayo mwanamke akikataa anaanza kufanyiwa figisu kwenye kazi yake
Eeh MuhimuMkuu hata ungekuwa ww unakiona chombo kipo hapo na umekielewa utashindwa kukiomba utelezi mkuu? Hata madaktari na manesi mahospitalin huko wanaombana..sembuse makamanda πππ
hahaa kaka ,MUNGU ablesi tuingie mzigoniiNina mwanangu operation mererani kujitolea anamzuka Sana na UT kma kaka mfwende [emoji28][emoji736]
Mkoa gani huu?Nawaona vijana wa 846KJ na 847KJ wakitoka kwenye usahili mkoani PT muda mfupi uliopita....!! Kesho zamu ya walio nje ya makambi!!
846 KJ nadhani ni kambi ya Luwa ipo Rukwa kama sikoseiMkoa gani huu?
Amekupa somo zuri sana kwenye maisha yakoDaah ndugu yangu me pia ninaye mtu wa hivyo tena Siyo wa ku connectiwa na mtu bali namjua alipita kimchongo kwani alikuwa na jakata lkn vigezo vingine kama umri ulimtupa ajabu ametoka kozi tayari anakula maisha nikimwambia kuhusu iyo anakataa anakwambia juhud zangu tu yani ikafika time hata meseji zangu hajibu,nikaona kama najichoresha nimekaa zangu kimya na kabla hajatoka alikuwa mwana Sana ila kaniacha kitaa sahiv hana anachokujibu hata lonja akupi sijawahi kusema nimemuomba hela shida ni kutaka aniunganishe na mbanga wake yule.Nimejifunza kitu hapa duniani wakunyenyekewa ni mungu tu ,binadamu anaombwa msaada na siyo kunyenyekewa.[emoji3578]
Rukwa huko ,Luwa jkt na MilundikwaMkoa gani huu?
Walio nje ya makambi, wanautaratibu wa kupiga simu?? Au majina kwenye mbao katika ofisi za RPC?Nawaona vijana wa 846KJ na 847KJ wakitoka kwenye usahili mkoani PT muda mfupi uliopita....!! Kesho zamu ya walio nje ya makambi!!
Wewe umeomba kwa RPC?Walio nje ya makambi, wanautaratibu wa kupiga simu?? Au majina kwenye mbao katika ofisi za RPC?
Kaka moja haikai mbili haikai ndo nmeingia napitia reply moja baada ya nyingine kama ya mwana apo anakwambia page ya UT wanakata viuno[emoji23][emoji23][emoji23]Living Pablo kaka leo haujaja kutimia huku kwenye kombania ya JAMIIFORUMS
Me navyojua haiangalii cheo bali nguvu yake.vp mbanga level ya brigedia inatoboa
Aise kumbe watu bado hawaelewi mambo aise...yani kuna walinzi wa magetini wana channel nyingi kuliko profesa wa chuo kikuuMe navyojua haiangalii cheo bali nguvu yake.
Sure unaweza kuwa na mazoea na mkubwa alaf kumbe mkubwa mwenyewe mzembe tu anazidiwa ata na dereva wa gari..Aise kumbe watu bado hawaelewi mambo aise...yani kuna walinzi wa magetini wana channel nyingi kuliko profesa wa chuo kikuu
Namaanisha wale wa mkoani mkuu.Wewe umeomba kwa RPC
Daah ww jamaa umeuliza hili swali kiaskari kabisa π πWewe umeomba kwa RPC?
ποΈποΈποΈποΈAise kumbe watu bado hawaelewi mambo aise...yani kuna walinzi wa magetini wana channel nyingi kuliko profesa wa chuo kikuu