Kwa nn unasema hivyo mkuuWadau humu mna connection nzito sana aise ....ππ½ππ½
Watu walikua wanajua hadi tarehe ya majina kutoka ππ½Kwa nn unasema hivyo mkuu
Mbona walikuw hawasemi humu πππWatu walikua wanajua hadi tarehe ya majina kutoka ππ½
Mtakaopata PT pambananeni sana muongeze elimu halafu zikitoka nafasi za kimataifa muombe mtakula shavu sana.
Individial police, Formed Police Unit (FPU) hivi ni vikosi kwaajili ya ulinzi wa amani nchi mbali mbali:MONUSCO,MINUSMA..n.k na unaweza kuomba kuhudumu kama polisi asiye na mipaka(interpol) mwisho kabisa kuna nafasi za kwenda kufanya kazi umoja wa mataifa hasa makao makuu au katika matawi yake.Polisi ni kazi ya maana sana tofauti na inavyobezwa, kupitia PT mtapata 'EXPOSURE'.
UJIKO:
#Polisi ni mlinzi wa V.I.P's
#Polisi ni mpiganaji janga lolote la kiulinzi na usalama likitokea nchini,polisi huwa mstari wa mbele kupigania usalama wa raia.Hapa mara nyingi hufanya joint operation wakishikirikiana na JWTZ.
Kiufupi watakaoenda PT watakua wamechagua kazi ya kiume.

Wale wakufanya usaili kwa makanda wa vikosi nawaon weng mkiiend koziMtakaopata PT pambananeni sana muongeze elimu halafu zikitoka nafasi za kimataifa muombe mtakula shavu sana.
Individial police, Formed Police Unit (FPU) hivi ni vikosi kwaajili ya ulinzi wa amani nchi mbali mbali:MONUSCO,MINUSMA..n.k na unaweza kuomba kuhudumu kama polisi asiye na mipaka(interpol) mwisho kabisa kuna nafasi za kwenda kufanya kazi umoja wa mataifa hasa makao makuu au katika matawi yake.Polisi ni kazi ya maana sana tofauti na inavyobezwa, kupitia PT mtapata 'EXPOSURE'.
UJIKO:
#Polisi ni mlinzi wa V.I.P's
#Polisi ni mpiganaji janga lolote la kiulinzi na usalama likitokea nchini,polisi huwa mstari wa mbele kupigania usalama wa raia.Hapa mara nyingi hufanya joint operation wakishikirikiana na JWTZ.
Kiufupi watakaoenda PT watakua wamechagua kazi ya kiume.
Watuambie na UT lini sasa tunaosubiri huku ππ wakigonganisha tarehe za usahili na PT litakufa jitu πWatu walikua wanajua hadi tarehe ya majina kutoka ππ½
Kuna mwamba aliniambia ila sikumuamini aiseMbona walikuw hawasemi humu πππ
Umeitwa PT wwWatuambie na UT lini sasa tunaosubiri huku ππ wakigonganisha tarehe za usahili na PT litakufa jitu π
Mzee mfwende vp uelekeo CCP ama UTuzi unatembea sana
Huyo kijana ana maelekezo ila hatutaki PT...wakimbania huko atakuja tu πUmeitwa PT ww
Najua vzuri ana maelekezo mazito sana ...yeye kila siku kwake ni furaha anaharakisha haraka aingie kambini π πHuyo kijana ana maelekezo ila hatutaki PT...wakimbania huko atakuja tu π
Mkuu usahili ukoje?Huyo kijana ana maelekezo ila hatutaki PT...wakimbania huko atakuja tu [emoji23]
Huko kaka ndipo penyewe ila huku kwingine daah kisanga kakaKaka methodinho tuweke nguvu zetu magereza kaka