Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn unasema hivyo mkuuWadau humu mna connection nzito sana aise ....👐🏽👐🏽
Watu walikua wanajua hadi tarehe ya majina kutoka 👐🏽Kwa nn unasema hivyo mkuu
Mbona walikuw hawasemi humu 😂😂😂Watu walikua wanajua hadi tarehe ya majina kutoka 👐🏽
Mtakaopata PT pambananeni sana muongeze elimu halafu zikitoka nafasi za kimataifa muombe mtakula shavu sana.
Individial police, Formed Police Unit (FPU) hivi ni vikosi kwaajili ya ulinzi wa amani nchi mbali mbali:MONUSCO,MINUSMA..n.k na unaweza kuomba kuhudumu kama polisi asiye na mipaka(interpol) mwisho kabisa kuna nafasi za kwenda kufanya kazi umoja wa mataifa hasa makao makuu au katika matawi yake.Polisi ni kazi ya maana sana tofauti na inavyobezwa, kupitia PT mtapata 'EXPOSURE'.
UJIKO:
#Polisi ni mlinzi wa V.I.P's
#Polisi ni mpiganaji janga lolote la kiulinzi na usalama likitokea nchini,polisi huwa mstari wa mbele kupigania usalama wa raia.Hapa mara nyingi hufanya joint operation wakishikirikiana na JWTZ.
Kiufupi watakaoenda PT watakua wamechagua kazi ya kiume.

Wale wakufanya usaili kwa makanda wa vikosi nawaon weng mkiiend koziMtakaopata PT pambananeni sana muongeze elimu halafu zikitoka nafasi za kimataifa muombe mtakula shavu sana.
Individial police, Formed Police Unit (FPU) hivi ni vikosi kwaajili ya ulinzi wa amani nchi mbali mbali:MONUSCO,MINUSMA..n.k na unaweza kuomba kuhudumu kama polisi asiye na mipaka(interpol) mwisho kabisa kuna nafasi za kwenda kufanya kazi umoja wa mataifa hasa makao makuu au katika matawi yake.Polisi ni kazi ya maana sana tofauti na inavyobezwa, kupitia PT mtapata 'EXPOSURE'.
UJIKO:
#Polisi ni mlinzi wa V.I.P's
#Polisi ni mpiganaji janga lolote la kiulinzi na usalama likitokea nchini,polisi huwa mstari wa mbele kupigania usalama wa raia.Hapa mara nyingi hufanya joint operation wakishikirikiana na JWTZ.
Kiufupi watakaoenda PT watakua wamechagua kazi ya kiume.
Watuambie na UT lini sasa tunaosubiri huku 😂😂 wakigonganisha tarehe za usahili na PT litakufa jitu 😂Watu walikua wanajua hadi tarehe ya majina kutoka 👐🏽
Kuna mwamba aliniambia ila sikumuamini aiseMbona walikuw hawasemi humu 😂😂😂
Umeitwa PT wwWatuambie na UT lini sasa tunaosubiri huku 😂😂 wakigonganisha tarehe za usahili na PT litakufa jitu 😂
Mzee mfwende vp uelekeo CCP ama UTuzi unatembea sana
Huyo kijana ana maelekezo ila hatutaki PT...wakimbania huko atakuja tu 😂Umeitwa PT ww
Najua vzuri ana maelekezo mazito sana ...yeye kila siku kwake ni furaha anaharakisha haraka aingie kambini 😅😅Huyo kijana ana maelekezo ila hatutaki PT...wakimbania huko atakuja tu 😂
Mkuu usahili ukoje?Huyo kijana ana maelekezo ila hatutaki PT...wakimbania huko atakuja tu [emoji23]
Huko kaka ndipo penyewe ila huku kwingine daah kisanga kakaKaka methodinho tuweke nguvu zetu magereza kaka