Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mtakaopata PT pambananeni sana muongeze elimu halafu zikitoka nafasi za kimataifa muombe mtakula shavu sana.

Individial police, Formed Police Unit (FPU) hivi ni vikosi kwaajili ya ulinzi wa amani nchi mbali mbali:MONUSCO,MINUSMA..n.k na unaweza kuomba kuhudumu kama polisi asiye na mipaka(interpol) mwisho kabisa kuna nafasi za kwenda kufanya kazi umoja wa mataifa hasa makao makuu au katika matawi yake.Polisi ni kazi ya maana sana tofauti na inavyobezwa, kupitia PT mtapata 'EXPOSURE'.

UJIKO:
#Polisi ni mlinzi wa V.I.P's
#Polisi ni mpiganaji janga lolote la kiulinzi na usalama likitokea nchini,polisi huwa mstari wa mbele kupigania usalama wa raia.Hapa mara nyingi hufanya joint operation wakishikirikiana na JWTZ.

Kiufupi watakaoenda PT watakua wamechagua kazi ya kiume.

Wale wakufanya usaili kwa makanda wa vikosi nawaon weng mkiiend kozi

Form 4
 
Back
Top Bottom