Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wale wa form 4 nendeni kwenye mbao za matangazo kwenye ofisi za makamanda hakuna cha sms wala simu kwa baadhi ya mikoa usiniulize ni ipi

Usipoona tangazo umejifungia ndani unasubiri sms au simu unajiita introvert hata wana huna we jua unajiondoa taratibu tu [emoji16]
 
mfwende unakubaliana na haya au
 
mfwende unakubaliana na haya au
Usikubali mtu akupe maoni....

Nakumbuka wakati naingia jkt nilikuwa na mentality ya kudharau vyombo vingine, lakini nilikuja kubadirishwa na Captain moja hivi...!!

Aliongea akasema, "Vijana haya mambo ya kudharau vyombo vingine vya ulinzi yanepitwa na wakati na ni mambo ya zamani na ya kishamba, nyakati zenu ni nyakati ngumu sana kwenye swala la ajira, na hakuna zoazoa kama zamani..usije hata siku moja ujachagua uende wapi nenda kokote as lilong as ni maswala ya ulinzi na usalama kwa sababu, Rais wet Magufuli amejitahidi kufuta gepu lililokuwepo kati ya vyombo vingine na JW".

Vijana wenzangu, ajira ni ajira tuu unapokuwa kwenye haya maswala ya ulinzi na usalama, hayo maswala ya status tuwaachie wenye fikra finyu lakini ukibahatika freshi.. Mimi napenda kuyaangalia zaidi maisha yangu kwa sababu muhusika ni mimi. Kokote kule nitaenda.

Namshukuru Mungu sasa kwenye pdf ya kwanza nipo na nawashukuru wanajukwaaa kwa kuendelea kutiana moyo!! Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.
 
All the best Kamanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…