BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Yani na hapo hujaelewa..?Naelewa bhas sasa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani na hapo hujaelewa..?Naelewa bhas sasa mkuu
Labda kwa kiswahili mkuuYani na hapo hujaelewa..?
Ww ndo unasaidia mkuu au ww ndo unatafutaConnection
Ni jeshi lilosahaulika mazingira ya kazi magumuMLEVi Mmoja MT kuna nini mkuu
mfwende unakubaliana na haya auNi jeshi lilosahaulika mazingira ya kazi magumu
Hiyo ilikuwa zamani
Magufuli amelibadilisha kwa kiasi kikubwa likiwa chini ya former CGP Suleiman Mzee ni jeshi zuri sana hata mazingira yao ya kazi pamoja na makazi
Ni jeshi lilojitosholeza na kujitegemea
Dah mzee...una apply kazi kwenye majeshi bila kujua hata yapo chini ya wizara gan kiongozi. Hapo hata kwenye interview si wanakula kichwaLabda kwa kiswahili mkuu
Askari magereza na mfungwa hawana tofauti mkuumkuu wangu hao MT ndani ya MOHA wamesahaurika sana, mazingira ya kazi ni magumu sana ,afadhali uwe afsa, hawa wa chini utasota na wafungwa mpaka uchakae.
hali ni mbaya,ila mtaa ukikupiga unarukia tu,ukafe na sonona huko. na wame target formfour tu ,ili ukapewe majukumu haswaa mpaka ujutie kuwa mzawa
Usikubali mtu akupe maoni....mfwende unakubaliana na haya au
Njoo PMwakuu nimechaguliwa kikosi cha mbwa na farasi lakini diploma iliyojazwa ni tofauti na ambayo nilioombea
Daah... Kweli nineona makosa hayo yamejitokeza... Hata kwenye suala zina la force number, zimechanganywa... Ukiombea dplm ya nini na wamekupa ipi??nahitaji ufafanuzi kwa mwenye uelewa
All the best Kamanda.Usikubali mtu akupe maoni....
Nakumbuka wakati naingia jkt nilikuwa na mentality ya kudharau vyombo vingine, lakini nilikuja kubadirishwa na Captain moja hivi...!!
Aliongea akasema, "Vijana haya mambo ya kudharau vyombo vingine vya ulinzi yanepitwa na wakati na ni mambo ya zamani na ya kishamba, nyakati zenu ni nyakati ngumu sana kwenye swala la ajira, na hakuna zoazoa kama zamani..usije hata siku moja ujachagua uende wapi nenda kokote as lilong as ni maswala ya ulinzi na usalama kwa sababu, Rais wet Magufuli amejitahidi kufuta gepu lililokuwepo kati ya vyombo vingine na JW".
Vijana wenzangu, ajira ni ajira tuu unapokuwa kwenye haya maswala ya ulinzi na usalama, hayo maswala ya status tuwaachie wenye fikra finyu lakini ukibahatika freshi.. Mimi napenda kuyaangalia zaidi maisha yangu kwa sababu muhusika ni mimi. Kokote kule nitaenda.
Namshukuru Mungu sasa kwenye pdf ya kwanza nipo na nawashukuru wanajukwaaa kwa kuendelea kutiana moyo!! Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.
Ahsante sana mkuu..All the best Kamanda.
Maanake inakaribianaNjoo PM
makamanda wa PT nawaombea kheri mtusue, kwenye pdf sijatokea
Mkuu tusio na mbanga ni hatareee tupambane na ishu nyingine tuMpapaso umenipitia ,nishapigwa peresu peresu PDF ya Polisi
Sijakuelewa boss.Maanake inakaribiana