Watu alfu 7....[emoji23][emoji23]Umeskia sahihi
Jwtz watakuja tena kama round mbili au tatu maana idadi iliyoombwa ni kubwa
Wadogo zangu Op Samia kaeni chonjo [emoji16]najua wanajua nazungumzia nini
Na vyombo vya wizara ya ndani vinakuja tena
Daah nikajua watapumzika mama amependelea majeshi safi sana.
Ndo walioombwa na wakubwa wa JW au wanaoenda kozi February?Watu alfu 7....[emoji23][emoji23]
Walioombwa.Ndo walioombwa na wakubwa wa JW au wanaoenda kozi February?
Now wanaenda wangapi au bado confidential??Walioombwa.
Asante mzee wa Makuyuni though bado sijiamini na height yangu, 5'2 naona mchomoko Narrow.Kila la kheri kaka
Upo wapi kiongoziWakuu aliyeomba kwa fomu 4 hizi nafasi za polisi kwa mkoa wa tanga, vp umepigiwa simu, umetumiwa sms au jina limebandikwa kwenye mbao za RPC ??
Mm kwangu kimya sms na simu sijapigiwa na nipo huku bush kabisa nauli yakwenda kwa RPC kama wamebandika ni kipengele
Nyie vpp
Kiongozi,.Upo wapi kiongozi
Mi sijawahi fanya,Ila usiwe na nywele nyingi piga brush tu,toa ndevu Zen kiatu km unacheusi kibrash fresh,nyoosha nguo chomekeaWakuu naomba kujua dress code ya hizi sahili za majeshi ya ulinzi ni zipi
Mi sijawahi fanya,Ila usiwe na nywele nyingi piga brush tu,toa ndevu Zen kiatu km unacheusi kibrash fresh,nyoosha nguo chomekea
Kwann isiwe moka ya church. Kama ni cheusi na kiko smartMake sure kama ni suruali imenyooka na pasi kama panga[emoji16][emoji16] usisahau kuchomekea na kunyoa ndevu(kama unazo) pia kichwano panki sijui fanki ya kiafande.
Chini kiatu ngozi nyeusi ing’ae mnoo(isiwe moka ya church)[emoji16][emoji16]
Watamalizia wengine over!!
Unataka wangapi mkuu nikuletee mtuAlie serious kuna mbanga ya JW anitafte
Afya ni pana sana Mkuu unaweza kuwa MD na ukaingia Kamisheni ya Forensic Bureau ukawa specialized kwenye DNA labda nk.Wakuu jina langu limetoka kwenye kitengo afya halafu watu wa kada yangu wengine wamewekwa Kamisheni ya Forensic hilo limekaaje?
Watu wa kada ya afya wanaingia kote kote kwa mfano madaktari wapo ambao watabak afya kuu kuhudumu mahospitali na wengine watakuw forensic huko. Sawa na wataalamu wengine wa kisayansi kama watu wa maabara wapo ambao watapangiwa kuhudumu mahosp wengine watapangiwa maabara za uchunguzi kwenye forensic department.Wakuu jina langu limetoka kwenye kitengo afya halafu watu wa kada yangu wengine wamewekwa Kamisheni ya Forensic hilo limekaaje?
BOss tusaidie tips za interview kwa wale wa form4 huku mikoani.Watu wa kada ya afya wanaingia kote kote kwa mfano madaktari wapo ambao watabak afya kuu kuhudumu mahospitali na wengine watakuw forensic huko. Sawa na wataalamu wengine wa kisayansi kama watu wa maabara wapo ambao watapangiwa kuhudumu mahosp wengine watapangiwa maabara za uchunguzi kwenye forensic department.
Forensic ni chaka tamu sana chomboni. Linahusu uchunguzi wa criminal issues kwa njia za kisayansi. Kwa mfano kama mtu amefariki kifo cha kutatanisha, daktari ataitwa kuweza kudetermine the cause of death baada ya uchunguzi either kama mtu alinyongwa, au lah...pamoja na kuchukua samples na wataalamu wengine kuangalia kama sumu zilitumika au vipi.
In short FB ni pana na inahusisha wataalamu wengi sio tu wa kada ya afya...watu wa fingerprinting, wataalamu wa milipuko, wataalamu wa mitandao na cybercrime, ITs and so on....