BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Boss hebu niPM number yako tuwasiliane jinsi ya kufanya applicationNadhani ni kwa posta kwa nilivyoelewa....ila changamoto yangu na mimi nitapataje anuani ya kanembwa jkt na jina la mkuu wa pale kwa sasahivi [emoji120][emoji120]naomba msaada kwa anaefahamu
Ww mtu upo?? Ebu tuchekiane pm kdogoniibox nikupe namba ya afande manyota flan pale atakusaidia.
Ndio maana jeshi letu uweledi zero kabisa, na tushukuru Mungu Tanzania tuna adabu bila hivo hali ingekuwa mbayaJeshi la Polisi ni zero kabisa! Yaani mtu kaferi form four ana four ya 26 hadi 32 ndiyo akawe mwana usalama wa kulinda raia na mali zake kweli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kazi. Inahitaji iron boy mkuu
kule hawaitaji smart person
Gwaji grl, Gwaji boy,Mwigulu,Mbowe,Lipumban.k wamesoma sana ila...[emoji1]Ndio maana jeshi letu uweledi zero kabisa, na tushukuru Mungu Tanzania tuna adabu bila hivo hali ingekuwa mbaya
Mhata huyoWaliotangaza nafasi za kazi ni jeshi la Polisi au ni CCM?[emoji1782][emoji1782][emoji1782]
View attachment 1897086
haiwezekani...hizo nafasi ni kwaajili ya jkt waliopo makambini wamtaani aziwahusu kabisafanya mpango upate cheti cha jkt mtaani. wabongo hawajawahi kushindwa kitu
soma vizuri tangazo limejieleza kwenye para ya kwanza tu...kuwa ni nafasi kwa vijana waliopo makambini jkt...huku hao waliopo makambini wakiwa awana vyeti dah....hii nchi sijui inakwenda wapiAs long as umepita jkt mafunzo ya awali na una cheti apply tu mzee...changamoto yangu bado sijaelewa tunapeleka kwa mkono huko makao makuu dodoma au?
vip sisi wanamgambo wa taliban tunaojitoleaJeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
View attachment 1897057View attachment 1897058
naona wamesahau kipengele cha uwe na kadi ya ccmNaamini vijana wa CHADEMA hawataomba maana kila siku wanasema polisi ni kazi ya laana na hawaipendi kupindukia.
haiwezekani...hizo nafasi ni kwaajili ya jkt waliopo makambini wamtaani aziwahusu kabisa
vyuma vimekaza....natoa ofa ya kiwanja kwa atakae weza kunipianishia...nikasajiliwa kujiunga na jeshi la polisi....
View attachment 1898287
Awe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwaje
Mbona nasikia hamtoi ruhusa za kwenda kusoma huko ktk 'geshi la polishi' labda wa kozi elekezi ndio mnawaruhusu.hai wakasome shule kwanza,wakimaliza waje wakiwa na cheti kingine wanahitajika pia ila sio kwa wakati wakiwa na sifa hizo.
unaingia jeshini mwezi mmoja baadae unaomba likizo ya kusoma!!!embu kasome umalize kwanza ndipo uje.
Nenda posta Waambie nataka kutuma kwa ems ila gharama inategemea na umbaliIla swali langu ni kuw maombi tunapeleka kwa mkono dodoma au vipi
Kwani ukisema kulipwa vizuri unakua na maana gan? Yaani shingap?Hivi ngazi ya degree Jeshini wanalipwa vizuri?
MMi...
Umenikumbusha mbali , kanembwa 2017 kumbe tulikua wote [emoji3526]Nilimaliza mafunzo ya JKT Kanembwa 2017 mujibu wa sheria, sasa naomba kufahamishwa mkuu wa kambi ya Kanembwa sasa hivi ni nani, pamoja na anuani ya pale kambini nataka kufanya maombi ya kazi hizi za polisi.